wamezidi upumbavu!Mkuu, Geza Ulole una hasira na majirani
Hawa watu wana dharau sanaMkuu, Geza Ulole una hasira na majirani
Sana aisee, usiombe, kila kitu wanajuaHawa watu wana dharau sana
Hawata rudia, maana ume wakibiza mbaya, ni jeshi la mtu mmoja maana yakewamezidi upumbavu!
Unaongea kwa hisia zaidi, hayo mashirika wala hayahusiki kwenye hii thread.Kenya wapo mbali kuliko sisi.Hivi vijumba vya NSSF na NHC vya ajabu visivyoendana na karne hii ni vya hovyo sana.Nimeona Boda254 ame-post picha za mlimani apartment na nyinginezo hatuwezi shindana nao hadi haya mashirika yetu yabadili fikra na kujenga apartment za kueleweka.