Mwanza vs Nakuru

Mwanza vs Nakuru

Mwanza Tanzania
db56429718a48569fe246ccdfd9cc478.jpg
 
NAKURU imechapa


asante Masonjo ww MTZ kamili.... Uje hapa kwetu NAKURU nikupee tusker baridi...... Kam 64.... Wajua mahali iko???
 
Kenya wapo mbali kuliko sisi.Hivi vijumba vya NSSF na NHC vya ajabu visivyoendana na karne hii ni vya hovyo sana.Nimeona Boda254 ame-post picha za mlimani apartment na nyinginezo hatuwezi shindana nao hadi haya mashirika yetu yabadili fikra na kujenga apartment za kueleweka.
Unaongea kwa hisia zaidi, hayo mashirika wala hayahusiki kwenye hii thread.
Hapa ni comparison..
Usilete chuki zako against serikali yetu hapa.
 
Back
Top Bottom