Kama nimeona picha ya dar sijui ilikua bahat mbaya au vipi
MwanZa iko juu nakuru sio lolote kwa MwanZa
Mimi sio mwenyeji wa mwanzaHahahaha.... Now that you brought Dar... acha sisi tulete our 5th largest vs Mwanza. Hautapenda.Plus i asked you to name even 5 estates in Mwanza with pictures and you ducked
Twi twi twanga twanga Pepeta....Inakuingia vizuri??
I smile when i imagine Mwanza almost 7 times smaller than Dar es salaam supposedly the second largest 'City'.... God forgive them it doesn't feel like a city... Now that city is sweating to compete with the forth largest city in a country they say is hungry,full of tribalism and all manner of shenanigans they say... I wonder they say their country is peaceful and growing at 7% for the last 10 years yet their second largest city can't still beat another country's 4th city convincingly. Aaw God forgive them.
1. DarBtw which is the largest city after dar , is it arusha or mwanza. And which is the fourth largest city in tz
Looks like Moshi townNAKURU OUTSKIRTS
View attachment 446919
Nakuru ipi yakuoambanisha na Dodoma?Mwanza inatakiwa ipambane na Mombasa , maana ndio mji wa pili Kenya.Ikishindwa mpambano basi, ndio maana ya kushindanisha.Usitafute ushindi wa bure kwa kupambanisha na nakuru, iache Nakuru ipambane na Dodoma au Moshi
Ndiyo maana ya mpambano.Kushinda au kushindwa.Mwanza ni mji wa pili kwa ukubwa Tanzania hivyo kama ni unataka kuona nani zaidi, ipambane na Mombasa mji wa pili Kenya, ikishindwa basi.Nakuru ni mji wa nne au tano Kenya hivyo kama ni kupambana ipambane na mji wa nne tanzania, ikishinda sawa ndio maana ya mpambano.Nakuru ipi yakuoambanisha na Dodoma?
Dodoma hii au mnatania
Nakuru ipi yakuoambanisha na Dodoma?
Dodoma hii au mnatania
Basi anzisha HapaNdiyo maana ya mpambano.Kushinda au kushindwa.Mwanza ni mji wa pili kwa ukubwa Tanzania hivyo kama ni unataka kuona nani zaidi, ipambane na Mombasa mji wa pili Kenya, ikishindwa basi.Nakuru ni mji wa nne au tano Kenya hivyo kama ni kupambana ipambane na mji wa nne tanzania, ikishinda sawa ndio maana ya mpambano.
You can say all you want. Deep inside you are pinching yourself hard why your second largest city just can't beat the fourth largest city in Kenya. Panga estates za Mwanza hapa tuone
Looks like Moshi town
Ubishi wanini
Nikuambie kitu
Fanya hivi
Leta Nakuru Vs Dodoma basi
Dodoma si jiji
Lakini Utajua motowake
mwanza
Hakuna haja ya kuanzisha, nakuru imeshashinda. Tukianza na Dar vs Nairobi mshindi NairobiBasi anzisha Hapa
Nakuru vs Dodoma
Mimi nitakuwa upande wa Dodoma tuone
Hakuna haja ya kuanzisha, nakuru imeshashinda. Tukianza na Dar vs Nairobi mshindi Nairobi
Mwanza vs Mombasa mshindi Mombasa
Arusha Vs Kisumu mshindi Kisumu
Miji ya Tanzania bado sana huo ndio ukweli, tembea tembea uone