Mwanza vs Nakuru

Mwanza vs Nakuru

Kama nimeona picha ya dar sijui ilikua bahat mbaya au vipi
MwanZa iko juu nakuru sio lolote kwa MwanZa

Hahahaha.... Now that you brought Dar... acha sisi tulete our 5th largest vs Mwanza. Hautapenda.Plus i asked you to name even 5 estates in Mwanza with pictures and you ducked
 
Hahahaha.... Now that you brought Dar... acha sisi tulete our 5th largest vs Mwanza. Hautapenda.Plus i asked you to name even 5 estates in Mwanza with pictures and you ducked
Mimi sio mwenyeji wa mwanza
kama zipo wanaofaham watajibu
 
Twi twi twanga twanga Pepeta....Inakuingia vizuri??

I smile when i imagine Mwanza almost 7 times smaller than Dar es salaam supposedly the second largest 'City'.... God forgive them it doesn't feel like a city... Now that city is sweating to compete with the forth largest city in a country they say is hungry,full of tribalism and all manner of shenanigans they say... I wonder they say their country is peaceful and growing at 7% for the last 10 years yet their second largest city can't still beat another country's 4th city convincingly. Aaw God forgive them.

Nimefurahi kusikia kuwa umefanya kazi kwa miaka sita lakini kwa umri wako sijajua ni kazi ipi hiyo ...OK let's put it aside

Nakuru unaweza kuipambanisha na mwanza kwa mahotel na estates lakini Nakuru ikashinda kwa sababu ni mji wa kitalii Kama arusha (kumbuka mwanza haiigusi arusha kwa mahotel lakini haimaanishi kuwa arusha imeizid mwanza kwa ukubwa)

Our economy is still growing at 7 % but that doesn't mean kuwa most developed regions contribute more to z growth than the less developed regions

Kumbuka habari ya tz ni mtwara na Dodoma ... Na kuna sehemu nyinginezo zinakua Kwa kasi pia Kama kahama , mbeya na hata Morogoro .....

Hii nimeitoa kwa miji ambayo huwa ninayoitembelea sio kwingineko
 
Btw which is the largest city after dar , is it arusha or mwanza. And which is the fourth largest city in tz
1. Dar
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mbeya or Tanga (not so sure which one comes first)
 
14264062_992467147528969_2764993776370751408_n.jpg

mwanza
 
Mwanza inatakiwa ipambane na Mombasa , maana ndio mji wa pili Kenya.Ikishindwa mpambano basi, ndio maana ya kushindanisha.Usitafute ushindi wa bure kwa kupambanisha na nakuru, iache Nakuru ipambane na Dodoma au Moshi
 
Nakuru ipi yakuoambanisha na Dodoma?
Dodoma hii au mnatania
 
Nakuru ipi yakuoambanisha na Dodoma?
Dodoma hii au mnatania
Ndiyo maana ya mpambano.Kushinda au kushindwa.Mwanza ni mji wa pili kwa ukubwa Tanzania hivyo kama ni unataka kuona nani zaidi, ipambane na Mombasa mji wa pili Kenya, ikishindwa basi.Nakuru ni mji wa nne au tano Kenya hivyo kama ni kupambana ipambane na mji wa nne tanzania, ikishinda sawa ndio maana ya mpambano.
 
Basi anzisha Hapa
Nakuru vs Dodoma
Mimi nitakuwa upande wa Dodoma tuone
 
You can say all you want. Deep inside you are pinching yourself hard why your second largest city just can't beat the fourth largest city in Kenya. Panga estates za Mwanza hapa tuone

Ubishi wanini
Nikuambie kitu
Fanya hivi
Leta Nakuru Vs Dodoma basi
Dodoma si jiji
Lakini Utajua motowake
 
Jamani mnaanza kulialia mimi si mwanzilishi wa mada hii
Mwanzilishi yupo
Mie nimechangia tu kama mchangiaji wakawaida
 
Hakuna haja ya kuanzisha, nakuru imeshashinda. Tukianza na Dar vs Nairobi mshindi Nairobi
Mwanza vs Mombasa mshindi Mombasa
Arusha Vs Kisumu mshindi Kisumu
Miji ya Tanzania bado sana huo ndio ukweli, tembea tembea uone

Hawataki kuamini.. Wanashinda wakirupukuka tu hapa.... Ati Mbeya fifth Largest city... halafu wanaiita city when it doesnt fit the bill.... .... Unasikia sijui Mbeya City, Sijui Mwanza city, sijui Tanga city.... Unaexpect kupata bonge la Jiji... Kufika unakuta Ujinga
 
Back
Top Bottom