Mwanza vs Nakuru

Mwanza vs Nakuru

Serenity hotel,Mwanza
ImageUploadedByJamiiForums1460623798.696514.jpg
 
Mnarudia picha zilezile,
Please we need to see factories, infrastructure, plants,schools, colleges, apartments and the like, wacheni utoto..
 
Mtuulize sisi wafanyabiashara ndo tunaijua hii miji... Mie nilishaendaga kule mwanza kuchukua dagaa na mara nyingi mie ni mkazi wa kericho Ila Nakuru nimeishi pia,,, Nakuru iko nyuma bado sana kuilinganisha na Mwanza,,, Ila wakenya tupunguze kudanganya ndo tutafika but Let US work hard na one day tutawafikia watz
 
Back
Top Bottom