sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
HAHAHAHA wachekesha kweli...Mwanza imechapwa 10nil nabado waongea upuzi...mwanabiashara indeed... endelea na kiosk yakoMtuulize sisi wafanyabiashara ndo tunaijua hii miji... Mie nilishaendaga kule mwanza kuchukua dagaa na mara nyingi mie ni mkazi wa kericho Ila Nakuru nimeishi pia,,, Nakuru iko nyuma bado sana kuilinganisha na Mwanza,,, Ila wakenya tupunguze kudanganya ndo tutafika but Let US work hard na one day tutawafikia watz



