Mwanza vs Nakuru

Mwanza vs Nakuru

HUNGRY CHILDREN IN TANZANIA
Hungry+children+in+Tanzania.jpg

I THOUGHT YOU HAVE ENOUGH FOOD. WHAT HAPPENED? THIS IS UNACCEPTABLE FOR A COUNTRY THAT HAS VIRTUALLY EVERYTHING.
hunger_rwanda.jpg

KEEP PRETENDING GEZA YET YOU ARE SHOOTING YOURSELVES ON THE FOOT. ATLEAST WE ARE DOING SOMETHING WITH OUR SITUATION. WE ACCEPT IT
news.2010.03.002.03.jpg

870.jpeg

I will help you geza be real and be realistic about your country. Mambo ya kuja kutuambia blah blah peaceful, blah blah largest economy in the world, blah blah resource rich hiyo ni ya wenda wasimu.
 
Mbona kama Mwanza wana 51 nakuru 49....yaani ushindi mwembamba
Sababu Ni kama ifuatavyo...
1. MwanZa pamepanuka sana so it's obvious kuna mengi kama hotels,school's, health facilities,alafu ikumbukwe MwanZa there are few apartment since because in Tanzania we don't believe on renting a house/apartment
2.MwanZa mandhari u ziwa na hayo mawe it's very splendid
3.infrustructure are not good as nakuru ....nakuru killed it in terms of miundombinu...
4.upande wa vyuo iyo egerton varsity it's way better than SAUT of MwanZa tena very far u can't compare btn the two!!
Conclusion MwanZa imeshinda kwa ushindi mdogo wa point moja!!
Mshindi by mshindi Ila kashinda kwa mbinde sana....
Uko sawa ndugu na karibu Mwanza,kama unaishi hapa hongera pia kwa kuishi eneo la watu wastaarabu.lakini ndugu,nini kinakupelekeeni watu kua mnaongea au kuandika lugha namna hii?kiswahili si kiswahili,kingereza si kingereza,ni kwamba wewe ni msomi au?
 
Hahaha unafurahisha du! Kwamba humuelewi?
 
Uko sawa ndugu na karibu Mwanza,kama unaishi hapa hongera pia kwa kuishi eneo la watu wastaarabu.lakini ndugu,nini kinakupelekeeni watu kua mnaongea au kuandika lugha namna hii?kiswahili si kiswahili,kingereza si kingereza,ni kwamba wewe ni msomi au?
Hahaha you wanted one language or what is it,but I think I've made it clear ...
 
Kwa hiyo mwanza imeungana na Dar kupambana na Nakuru, kamji kanne kwa ukubwa kenya.Si mchezo
 
Kama nimeona picha ya dar sijui ilikua bahat mbaya au vipi
MwanZa iko juu nakuru sio lolote kwa MwanZa
 
Back
Top Bottom