Mwanza wamebaki na milima yenye mawe, Dhahabu, Geita, Kwa jicho la ndani, Kufurahia kuzaliwa mkoa mpya Geita,ni maumivu kwa jiji la Mwanza!

Umeandika pointi

Madini hayanufaishi ili yanaishia kuibiwa ibiwa sana
 
Mwanza na mbeya ni moja ya majiji yanayo kua kwa kasi bila nguvu kubwa ya serikali tofaut na dar,dodoma na Arusha inayo pigwa collable na EAC .kwa mawazo yako unazani Mwanza ina tegemea Geita kua apo
Lakn kwl zle dhahabu lait ingelikuwa bado ipo Mwanza ahaaa aiseee wangekuwa jij tshio kwl kwl
 
Kaskazini wanabebwa na Utalii jombaa.
Syo utali tu ww fkria watu wanalima mau mboga mboga na nyama kama vle ya kondoo ng'ombe nguruwe wana supply sehem kubwa na wakaz weng wanafuga ksasa kama kuku ng'ombe wamaziwa aya madn ichimbwa manyara lakn inauziwa Arusha soko la maind ipo Dodoma lakn wakenya na wasudan wanaishia Arusha kwaiyo kuna namna serkali imefanya
 
Nyanzaga unakuwa mgodi wakwanza sio tanzania bali east africa
 
Nyanzaga unakuwa mgodi wakwanza sio tanzania bali east africa
Ee bwana eeh!

Hivi, ilikuwaje katika kuugawa mkoa huu wa Mwanza?

Kwa nini Sengerema isingeenda Geita?

Kama Mkoa wa Pwani ulivyozunguka zunguka mpaka mtu unachanganyikiwa yaani, maana kuna wilaya zingine mpaka upite katikati ya jiji la Dar ndo ukaingie wilaya za mkoa wa Pwan, utadhani kuna mtu alikuwa anaugawa huku anajua kwamba, hili enro bora liende pwani kwa sababu alizozjiua mwenyewe na sio kugawa mkoa katika hali isiyostajabisha
 
Madini yanapo exhaust miji inadumaa,elewa mji unaojengeka kutegemea madini utakuja kudumaa baadaye,since madini ni non renewable resources,na kwa Tanzania, Republic nchi haina usimamizi madhubuti wa raslimali hii ,inaishia kuchukuliwa na wageni,watu w chini hawana faida na raslimali hii,kwa mwanza itajengwa na resources zingine tuu,laana ya madini ingeidumaza Sana mwanza Kama ingetegemea kujijenga kutegemea madini
 
Mkuu umetumia vyanzo vipi kufanya utafiti?
Na lini umetembelea Geita na Mwanza harafu ukalinganisha?
Geita haiwezi kuifikia Mwanza!
 
Mwanza inazo sekta nyingi zitakazoifanya uendelee kukupa tofauti na hiyo ya madini( temporary sector),Haina faida kwa mtu wa chini, Bali sector tegemeo kwa uxhuminwa mwanza( mistu, uvuvi, kilimo, biashara, usafirishaji, yaani maji, anga na ardhini, huduma, raslimali watu, utalii, viwanda, vidogo na vya kati) nk naiona mwanza Ina flourish muda mrefu ujao
 
Uko sahihi kiasi kwamba kijiografia Mwanza imekuwa ndogo sana,ila geita kuja kuifikia mwanza itachukua miaka mingi sana,si chini ya 50,Geita haikui ,pale mjini pako ovyo sana
Geita inakuwa asikudanganye mtu. Ukweli ni kwamba kuondoka kwa Geita Mwanza ni pigo kubwa maana karibu nusu ya mkoa wa Geita ni madini tupu. Ukiacha madini Kuna kilimo Cha mazao mbalimbali k.m. mpunga nanasi n.k.
 
Geita inakuwa asikudanganye mtu. Ukweli ni kwamba kuondoka kwa Geita Mwanza ni pigo kubwa maana karibu nusu ya mkoa wa Geita ni madini tupu. Ukiacha madini Kuna kilimo Cha mazao mbalimbali k.m. mpunga nanasi n.k.
Geita inakua kwa kasi ila nikwambie tu Geita haitakaa iizidi Mwanza miaka yote!
Mwanza ilipo sasa hivi ni International city na zone city ndo maana wachimbaji wa madini asilimia kubwa wanajenga Mwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…