Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
- Thread starter
- #61
Umeandika pointiUwekezaji wa miradi ya madini ni temporary,kwa sababu ni no renewable resources,hivyo in long run madini yakiisha ardhini hata hiyo geita itachoka Sana,iangalie miji ya madini duniani ambayo yameshaisha migodi yake je bado Ina flourish,kwa mwanza itajengwa na resources zingine mbali na madini ,sababu madini kwanza hayamnufaishi mtu mdogo,yaanaishia kuibiwa ibiwa sana
Madini hayanufaishi ili yanaishia kuibiwa ibiwa sana