Mwanza intern airport ndiyo suluhisho ya Mwanza vinginevyo serikali inachangia kuiua Mwanza km jiji.Una uhakika Serikali imeisahau Mwanza?
Serikali iliyopita ilifanya kipi hapo Mwanza tulinganishe na hii ya Sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza intern airport ndiyo suluhisho ya Mwanza vinginevyo serikali inachangia kuiua Mwanza km jiji.Una uhakika Serikali imeisahau Mwanza?
Serikali iliyopita ilifanya kipi hapo Mwanza tulinganishe na hii ya Sasa?
Daa nimecheka sana unakuja Hadi Wampembe 🤣🤣🤣🤣🤣Hizi ishu za mikoa zipo kisiasa sana. Wewe pambania maisha yako.. kuna watu wanaishi huko Wampembe lakini wana hela nyingi kuliko mtu anayeishi upanga Dar.
Hata wakijenga Uwanja wa Kimataifa,kama watu wa kusafiri Kimataifa haitawasaidia kitu.Mwanza intern airport ndiyo suluhisho ya Mwanza vinginevyo serikali inachangia kuiua Mwanza km jiji.
Hujui kitu, Breweries Mwanza unatia Kodi kubwa kuliko hata hiyo migodi yote iliyoko Geita,kanda ya ziwa na shinyanga,so still mapato wanaopata tu hata Kwa breweries MwanzaUkweli ndio huo
Mkoa wa mwanza, kwa siku za usoni, utapitwa na kila mkoa kiuchumi kwa sababu mapato mengi ambayo yalikuwa yakiuinua mkoa huo na kushika nafasi ya pili kitaifa katika kuliingizia Taifa mapato yake, mengi yapo katika mkoa mpya wa Geita iliyokuwa wilaya ya Mkoa huo
Sioni ajabu mkoa wa Mwanza kwa sasa kushushwa nafasi yake na mikoa kama Njombe, Kilimanjaro, Arusha n.k kwa sababu imebaki na sifa moja tu ya milima milima yenye mawe
Ukija kwenye Ziwa, hata Geita ziwa lipo, na hata hivyo, Ziwa hili kwa nyakati tofauti limekuwa likiendeshwa kisiasa tupu
Wana Mwanza kufurahia kuzalisha mkoa mpya wa Geita huku wakisahau sehemu kubwa ya maeneo yote ya mkoa wa Mwanza, haina resources zozote zaidi ya ziwa ambalo nalo samaki zilishapungua
Ingawa kwa upande mwingine kwa serikali ni kusogeza huduma na miundombini kwa haraka kwa wananchi katika mikoa mipya, hata hivyo, Ukweli unapembuka kwamba, mwisho wa tambo za wana Mwanza kuwa ndilo jiji ambalo huchangia pakubwa zaidi kimapato ya serikali umewadia
Sikatai kusema kwamba geita ni kijiji kwa mwanza ila kusema breweries inatoa mapato mengi kuliko mgodi hapo hapana.kibaya siku mgodi wa GGM ukafungwa hakuna tena geita.Hujui kitu, Breweries Mwanza unatia Kodi kubwa kuliko hata hiyo migodi yote iliyoko Geita,kanda ya ziwa na shinyanga,so still mapato wanaopata tu hata Kwa breweries Mwanza
Angekuwepo Ngosha mikoa yote ya Kanda ya Ziwa ingeng’ara !Ukweli ndio huo
Mkoa wa mwanza, kwa siku za usoni, utapitwa na kila mkoa kiuchumi kwa sababu mapato mengi ambayo yalikuwa yakiuinua mkoa huo na kushika nafasi ya pili kitaifa katika kuliingizia Taifa mapato yake, mengi yapo katika mkoa mpya wa Geita iliyokuwa wilaya ya Mkoa huo
Sioni ajabu mkoa wa Mwanza kwa sasa kushushwa nafasi yake na mikoa kama Njombe, Kilimanjaro, Arusha n.k kwa sababu imebaki na sifa moja tu ya milima milima yenye mawe
Ukija kwenye Ziwa, hata Geita ziwa lipo, na hata hivyo, Ziwa hili kwa nyakati tofauti limekuwa likiendeshwa kisiasa tupu
Wana Mwanza kufurahia kuzalisha mkoa mpya wa Geita huku wakisahau sehemu kubwa ya maeneo yote ya mkoa wa Mwanza, haina resources zozote zaidi ya ziwa ambalo nalo samaki zilishapungua
Ingawa kwa upande mwingine kwa serikali ni kusogeza huduma na miundombini kwa haraka kwa wananchi katika mikoa mipya, hata hivyo, Ukweli unapembuka kwamba, mwisho wa tambo za wana Mwanza kuwa ndilo jiji ambalo huchangia pakubwa zaidi kimapato ya serikali umewadia
Kweli kabisa mwanza na mbeya ni majisababy ji yanayokuwa kwa haraka sana bila kutegemea mbeleko ya sarikali hasa kwa sababu ya jiografia ya hayo majijiMwanza na mbeya ni moja ya majiji yanayo kua kwa kasi bila nguvu kubwa ya serikali tofaut na dar,dodoma na Arusha inayo pigwa collable na EAC .kwa mawazo yako unazani Mwanza ina tegemea Geita kua apo
Miaka yake aliing'aeisha Kwa lipi? Tatizo mnakuwa wajinha na wavivu wa kufikiria.Angekuwepo Ngosha mikoa yote ya Kanda ya Ziwa ingeng’ara !
Mikoa ina kila kitu madini ya dhahabu na Almasi Pamba na kila aina ya mazao ya kilimo lakini wapiiii !
Hamuna kitu chochote cha maana !
Wajanja wa mujini walishafanya yao !
Ngosha akaishia kusema Tumepigwa 😳
Au tumechezewa sana ndugu zanguni 😅🙌
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!! 🤠🤦🏽♂️
Mlipa Kodi mkubwa Tanzania ni Breweries sio MigodiSikatai kusema kwamba geita ni kijiji kwa mwanza ila kusema breweries inatoa mapato mengi kuliko mgodi hapo hapana.kibaya siku mgodi wa GGM ukafungwa hakuna tena geita.
Kwanza mikataba mingi ya madini ni ya kinyonyaji tupuMiaka yake aliing'aeisha Kwa lipi? Tatizo mnakuwa wajinha na wavivu wa kufikiria.
Miaka 5 yake Cha maana hapo Mwanza alichofanya ni Sgr na daraja ambalo halikukamilika.
Mradi mwingine ni Ile ULGDP kuwajengea mastendi tuu ,hakuna jipya zaidi ya Hilo.
Bora hata mama ukiacha kukamilisha Miradi ya Mwendazake ila Kuna miradi Mingi sana ya Barabara ameianzisha.
Kwanza mikataba mingi ya madini ni ya kinyonyaji tupu
Kwan Geita ina muda gani toka iwe mkoa? Mwanza itaendelea umeshakua jiji la kibiashara. Sawa na Arusha tu walivyo ondoa soko la madin ya Tanzanite.Kufurahia kuzaliwa mkoa mpya Geita, Ni mwanza kuondoka kwenye ufalume wake,
Naomba kichwa cha habari kisomeke hivyo,
Lakini sasa MamaSamia2025 unataka kuupiga teke ukweli uliopo, hata kama ni kisiasa, ni mhimu kujadiriwa na kuwekwa bayanaHizi ishu za mikoa zipo kisiasa sana. Wewe pambania maisha yako.. kuna watu wanaishi huko Wampembe lakini wana hela nyingi kuliko mtu anayeishi upanga Dar.
Usije kuta miaka kadhaa ihayo wafanya biashara waluopo jijini Mwanza wakaanza kulazimika kufuata bidhaa Katoro GeitaKwan Geita ina muda gani toka iwe mkoa? Mwanza itaendelea umeshakua jiji la kibiashara. Sawa na Arusha tu walivyo ondoa soko la madin ya Tanzanite.
Mwanza anaichukulia poa sana huyo jamaa! Kwanza Geita inaingia hata mara 10 kwa Mwanza!Kwa maghorofa haya yanayoibuka kama uyoga hapa Rock City, Geita tuipe miaka 700 kuifikia Mwanza.
Mkuu, mimi nimetoa tu angalizo kutokana na ukweli uliopo, Mwanza inaupungufu mkubwa wa maliasili kama ambavyo ilikuwa na wilaya kama GeitaMwanza anaichukulia poa sana huyo jamaa! Kwanza Geita inaingia hata mara 10 kwa Mwanza!
Ndo leo aje aseme Geita iizidi Mwanza!
Hiyo ishatoka levo ya kutegemea kuchimba madini au kilimo tu! Multieconomical hub kwa sasa!Mkuu, mimi nimetoa tu angalizo kutokana na ukweli uliopo, Mwanza inaupungufu mkubwa wa maliasili kama ambavyo ilikuwa na wilaya kama Geita
Hilo wazo lilitolewa na fisadi Magufuri ili ajenge Chato kuwa jiji.Kuna jambo ambalo ni mhimu na turufu kubwa sana katika nyanja ya kiuchumi, ni pamoja na kuwa na wanasiasa wenye ushawishi mkubwa, Arusha ilishajiweka vizuri sana kwenye eneo hili, Arusha inaongoza kwa kutoa Mawaziri wakuu nchini, hii ni nzuri kwao katika kuishawishi serikali kupeleka maendeleo huko, lakini jambo lingine ni kwamba, Arusha imekuwa na wanasiasa wanaojali kwao, tofauti kabisa na ilivyo mikoa mingine kama Mwanza, Mbeya na kwingineko, Tunapokuwa tunasema, Nchi inahitaji viongozi wasomi wenye, ushawishi na wenye uchungu na maendeleo, muwe mnatuelewa, mfano mdogo, wanasiasa wa Mwanza, ni wanasiasa wanaosubiri mipango ya serikali tu tofauti na wanasiasa wa maeneo mengine ambao licha kwamba kuna mipango ya serikali, lakini bado wanakuwa ni wepesi wa kuishawishi serikali ili iingize mipango inayotokana na nguvu ya ushawishi na iliyosahaulika katika kupanua wigo wa naendelea katika eneo husika
Wanasiasa, ni kiungo mhimu sana katika kushawishi serikali ili ipelekee maendeleo, Yaani utakuta jiji la mwanza, licha ya kuwa na ukaribu wa ziwa Victoria, kuna maeneo hayana maji! Huu ni uzembe wa viongozi na siyo serikali, maji hayo hayo ya Victoria yamefika Dodoma ilihali yanapoanzia, hayajaenezwa, Wana Mwanza, timueni wote wabunge mlionao, hao ndiyo wanaochangia Mwanza iwe ya hovyo
Ikumbukwe, Jiji la Mwanza, na Jiji la Arusha, watu wake wanakawaida ya kushindana kimaendeleo, jambo ambalo ni la kuigwa, ni zuri na linafaa, hii inamaanisha kwamba, hamuwezi kuwa mnachagua viongozi legelege ili hali mnapenda jiji lenu liwe juu
Sifahamu agenda ya mkoa wa Mwanza kukatwa na kuzaliwa Geita ilitoka kwa nani, usikute pia ni siasa na ushawishi wa mkoa shindani wenu waliwazidi mbinu, bila kufahamu madhala ya badaye, mkaona ni sawa tu, Mwanza kijiografia ni ndogo kuliko Tabora, Dodoma, Morogoro n.k, lakini mikoa hiyo haikugawanywa mpaka leo
Hii maana yake nini,??
Nikirudi kwenye mada
Mkoa wa mwanza, kwa siku za usoni, utapitwa na kila mkoa kiuchumi kwa sababu mapato mengi ambayo yalikuwa yakiuinua mkoa huo na kushika nafasi ya pili kitaifa katika kuliingizia Taifa mapato yake, mengi yapo katika mkoa mpya wa Geita iliyokuwa wilaya ya Mkoa huo
Sioni ajabu mkoa wa Mwanza kwa sasa kushushwa nafasi yake na mikoa kama Njombe, Kilimanjaro, Arusha n.k kwa sababu imebaki na sifa moja tu ya milima milima yenye mawe
Ukija kwenye Ziwa, hata Geita ziwa lipo, na hata hivyo, Ziwa hili kwa nyakati tofauti limekuwa likiendeshwa kisiasa tupu
Wana Mwanza kufurahia kuzalisha mkoa mpya wa Geita huku wakisahau sehemu kubwa ya maeneo yote ya mkoa wa Mwanza, haina resources zozote zaidi ya ziwa ambalo nalo samaki zilishapungua, kunaifanya Mwanza iwe ni mji usiochangamka mbeleni