Mwanza: Wana-CHADEMA 19 wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu Kanisani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Charge Sheet.jpg
 
Mkuu huoni hapo ni "The Republic" vs hao watu. Yani Jamuhuri inawashtaki hao watu. Vipi kanisa walilofanyia fujo/vurugu halikuweza kuwashtaki?
Kesi za jinai huwa anayeshtaki ni Jamhuri tu

Hata wewe ukiibiwa mwizi anashtakiwa na Jamhuri wewe mlalamikaji unakua shahidi upande wa mashtaka (Shahidi wa kwanza)

Sema hapa Polisi na waendesha mashtaka wanahangaika tu na kuisumbua mahakama buree

Manaake mkuu wa ulinzi wa kanisa alikana hakuna vurugu

Askofu mwenyewe pia alishangaa

Polisi wakasema kuna "waumini" wawili walipiga simu Polisi
Hao "waumini" ndo watakaowatumia labda.
 
Kesi za jinai huwa anayeshtaki ni Jamhuri tu

Hata wewe ukiibiwa mwizi anashtakiwa na Jamhuri wewe mlalamikaji unakua shahidi upande wa mashtaka (Shahidi wa kwanza)
Hilo lipo wazi mkuu.

Je kufanya vurugu ni jinai mkuu?
 
Tuendelee kuchukua tahadhari korona inaua haswa kwa wale wenye magonjwa kama vile;
1. KISUKARI
2. PRESHA
3. UKIMWI
4. SARATANI
5. TB.
6. UGONJWA WA MOYO
 
Ajira za polisi zimetangazwa hukooooooo wanachadema changamkieni
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Huyo namba tatu James Mayala ana undugu na Pascal Mayalla?
 
Baada ya kushindwa kufanya vurugu zao uraiani wameona wazihamishie makanisani, wakitoka huko waje na misikitini.

Hawa chadema kuwaelewa Ni ngumu Sana.
 
Hapo Askofu afanye Misa ya kuwaombea wote waliombakiwa kesi
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Kuna mstari mwembamba sana ambao unatenganisha matendo ya udhalimu na ufedhuli kati ya yale yanayotendwa na CCM kwa kulinganishwa na yale ya INTERAHAMWE.
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Nimesema mara nyingi kuwa tatizo kubwa lipo pekee jumba jeupe. Hakuna dereva pale bali deiwaka
 
Hizi laana za Kila siku zinazotengeneswa na Polisi ndizo zinazomfanya Mama ashindwe kuongoza nchi vizuri. Unafikiri machozi ya wanaoonewa na Polisi kwakuwa mwenye Mamlaka yuko upande wao, yatakwenda bure???
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

MUNGU ni Mwema Askofu amekana kutokea VURUGU lakini POLISI ambao hakuwepo Kanisani Wanadai Vurugu hongera sana POLICCM
JamiiForums1966179623.jpg

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom