Mwanza: Wana-CHADEMA 19 wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu Kanisani

Mkuu huoni hapo ni "The Republic" vs hao watu. Yani Jamuhuri inawashtaki hao watu. Vipi kanisa walilofanyia fujo/vurugu halikuweza kuwashtaki?
Kisheria makosa yote ya jinai, mshitaki ni Jamhuri. Hata ukipigwa anayeshtaki ni Jamhuri, wewe unakuwa tu shahidi wa Jamhuri.
 
Shahidi number moja wa washitakiwa hao atakuwa ni paroko wa siku hiyo.

Tanzania yetu ina kitu inakitafuta...note alichokisema leo Lusekelo
 
Kwahiyo mlalamikaji hapo ni nani? Ni polisi au askofu kwa niaba ya kanisa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hivi polisi hawanaga aibu? Mbona wanafanya mambo ya ajabu hata watoto na wake zao hawawezi kuamini?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Upuuzi, yaani wanachama wa Chadema wamefanya vurugu kanisani, halafu Askofu wa jimbo akasikitishwa na kukamatwa kwao, CCM na polisi ni wajinga sana.
CCM na polisi wamedhamiria kwa makusudi nchi iingie kwenye civil war.
Sasa sijui wanadhani haya yakitokea wao watajificha chini ya bahari!
 
Hao polisi waliowakamata hao wanachadema walikuwa lindo hapo kanisani siku ya tukio? Huko mwanza makanisa yanalindwa na polisi? Nimeuliza maana huku nilipo makanisa hayalindwi na polisi
 
Wanaweza kuwa nyangumi maana hawana tabia za wanadamu.
 
Hao polisi waliowakamata hao wanachadema walikuwa lindo hapo kanisani siku ya tukio? Huko mwanza makanisa yanalindwa na polisi? Nimeuliza maana huku nilipo makanisa hayalindwi na polisi
Duh...!.
Jembe la kulimia?!!! 😂
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Mlalamikaji polisi, mkamataji polisi kanisa siyo la polisi, mwenye kanisa hana habari za vurugu kanisani kwake!
 
Polisi mnatumika na CCM kama toilet paper, mkistaafu mnaanza kuwaomba CHADEMA wawasemee kuhusu mafao yenu.
Muroto hadi sasa hivi bado hajalipwa hata mia na misifa yote ile.
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Vichaa kumbe bado wapo TZ nilidhani alikua mwendazake pekee
 
Upuuzi, yaani wanachama wa Chadema wamefanya vurugu kanisani, halafu Askofu wa jimbo akasikitishwa na kukamatwa kwao, CCM na polisi ni wajinga sana.
Nimeandika mara kadhaa nimefuta.

Anyway.

Yatosha kusema tu labda polisi ni.....
 
Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.

Mungu ni mwema wakati wote!

---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.

Voluntarily caused?

Amandla...
 
Siku Siro akistaafu nitakwenda kutafuta Malaya Temeke kwa Maguruwe nilewe naye
 
Mama kama hajielewi hivi 2walahi kabisa nchi yenda mrama
 
Nchi nyingine, watu wenye uwendawazimu wanakuwa hospitalini, kwetu wanapewa jukumu la ulinzi wa raia. Hapo tegemea vioja vingi, ikiwa ni pamoja na kumwangamiza anayetakiwa kulindwa.
 
Back
Top Bottom