johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mkuu huoni hapo ni "The Republic" vs hao watu. Yani Jamuhuri inawashtaki hao watu. Vipi kanisa walilofanyia fujo/vurugu halikuweza kuwashtaki?Mlalamikaji hapo ni kanisa bila shaka.
Kesi za jinai huwa anayeshtaki ni Jamhuri tuMkuu huoni hapo ni "The Republic" vs hao watu. Yani Jamuhuri inawashtaki hao watu. Vipi kanisa walilofanyia fujo/vurugu halikuweza kuwashtaki?
Hilo lipo wazi mkuu.Kesi za jinai huwa anayeshtaki ni Jamhuri tu
Hata wewe ukiibiwa mwizi anashtakiwa na Jamhuri wewe mlalamikaji unakua shahidi upande wa mashtaka (Shahidi wa kwanza)
Kufanya vurugu ni jinai mkuuHilo lipo wazi mkuu.
Je kufanya vurugu ni jinai mkuu?
Swali swaafiiii kabisa tusubiri majibu mkuu..Hilo lipo wazi mkuu.
Je kufanya vurugu ni jinai mkuu?
Huyo namba tatu James Mayala ana undugu na Pascal Mayalla?Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.
Mungu ni mwema wakati wote!
---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.
Misikitini siyo rahisi bwashee!Baada ya kushindwa kufanya vurugu zao uraiani wameona wazihamishie makanisani,wakitoka huko waje na misikitini.
Hawa chadema kuwaelewa Ni ngumu Sana.
Kuna mstari mwembamba sana ambao unatenganisha matendo ya udhalimu na ufedhuli kati ya yale yanayotendwa na CCM kwa kulinganishwa na yale ya INTERAHAMWE.Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.
Mungu ni mwema wakati wote!
---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.
Nimesema mara nyingi kuwa tatizo kubwa lipo pekee jumba jeupe. Hakuna dereva pale bali deiwakaWanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.
Mungu ni mwema wakati wote!
---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.
MUNGU ni Mwema Askofu amekana kutokea VURUGU lakini POLISI ambao hakuwepo Kanisani Wanadai Vurugu hongera sana POLICCMWanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.