Securelens
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 316
- 542
Kisheria makosa yote ya jinai, mshitaki ni Jamhuri. Hata ukipigwa anayeshtaki ni Jamhuri, wewe unakuwa tu shahidi wa Jamhuri.Mkuu huoni hapo ni "The Republic" vs hao watu. Yani Jamuhuri inawashtaki hao watu. Vipi kanisa walilofanyia fujo/vurugu halikuweza kuwashtaki?
CCM na polisi wamedhamiria kwa makusudi nchi iingie kwenye civil war.Upuuzi, yaani wanachama wa Chadema wamefanya vurugu kanisani, halafu Askofu wa jimbo akasikitishwa na kukamatwa kwao, CCM na polisi ni wajinga sana.
Wanaweza kuwa nyangumi maana hawana tabia za wanadamu.CCM na polisi wamedhamiria kwa makusudi nchi iingie kwenye civil war.
Sasa sijui wanadhani haya yakitokea wao watajificha chini ya bahari!
Manung'uniko ya Shetani na Mama Mkwe wake.Wanachadema mnajiona malaika
Duh...!.Hao polisi waliowakamata hao wanachadema walikuwa lindo hapo kanisani siku ya tukio? Huko mwanza makanisa yanalindwa na polisi? Nimeuliza maana huku nilipo makanisa hayalindwi na polisi
Mlalamikaji polisi, mkamataji polisi kanisa siyo la polisi, mwenye kanisa hana habari za vurugu kanisani kwake!Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.
Mungu ni mwema wakati wote!
---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.
Hapana usililazimishe, kanisa limekanusha na halihusiki na kesi hiyo.Mlalamikaji hapo ni kanisa bila shaka.
Yaani shida sana.Upuuzi, yaani wanachama wa Chadema wamefanya vurugu kanisani, halafu Askofu wa jimbo akasikitishwa na kukamatwa kwao, CCM na polisi ni wajinga sana.
Vichaa kumbe bado wapo TZ nilidhani alikua mwendazake pekeeWanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.
Mungu ni mwema wakati wote!
---
Wanachama 19 wa Chadema, akiwemo Katibu wa Chadema Kanda ya Victoria, Zacharia Obad, waliokamatwa Kanisani Katoliki Parokia ya Kawekamo, Mwanza, Jumapili iliyopita, leo wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza na kusomewa shtaka la kuleta usumbufu katika mkutano wa kidini.
Nimeandika mara kadhaa nimefuta.Upuuzi, yaani wanachama wa Chadema wamefanya vurugu kanisani, halafu Askofu wa jimbo akasikitishwa na kukamatwa kwao, CCM na polisi ni wajinga sana.
Voluntarily caused?Wanachama 19 wa Chadema mkoani Mwanza leo wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kufanya vurugu katika Ibada ndani ya Kanisa Katoliki.