Mwanza: Wanafunzi Mapacha wa Chuo cha Mipango wafariki Dunia kwa kuzama Ziwa Victoria

Enzi hizo nasoma bwiru boys naogelea umbali mrefu Hadi huko kwenye mawe kumbe nilikuwa najizika.


Wapumzike kwa amani.
 
Jini bahari linakaa na ziwani? Linawauwa watu? Kuna mwingine kasema ni samaki which is which, ni samaki ni jini?
Kuna samaki anaitwa mkunga kwa kiingereza electric eel.

Huyu samaki ana uwezo wa kukupiga shoti.

Inaaminiwa wengi wanaopotea baharini na kwenye maziwa yawezekana walipigwa shoti na mkunga wakapatwa na stroke au cardiac arrest na kuzama.
 
wamezaliwa siku moja!wamefariki siku moja!!R.I.P!inawzekana mmoja alikua anazama na mwenzie akaenda kumuokoa ndo wakajikuta wamezama wotee
 
Kwa sisi waogelea hatufi kwa mawimbi, kama hautumii chombo chochote, na uko eneo la kuweza kufikia nchi kavu.
 
Duuuuh poleeeeee aseeeeeeh!!
Mie pia nilitaka kufia mtoni, tangu hapoo maji nayaogopaa mnoooo.
 


Inawezekana huyu ndiye samaki aliyewaua

Anaitwa ELECTRIC EEL

Huyo hata ujue kuogelea kwenye michanga akikugusa tu imo.

Na anapenda sana kushinda bwawani na mtoni.


R.i.p
 
RIP little Boys
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Eti kuna mawimbi yanatokea ghafla!!!!

Hakuna kitu kama hcho,kwahyo yakitokea ghafla ndo yanauwa
 
Hapo inaonekana mmoja ndo alizidiwa then mwngne akajitahidi kumuokoa mwenzake maana nawaza tu mapacha wanavopendanaga
Itakuwa hivyo. Hata sisi iliwahi tokea wakati niko sekondari tena siku hiyp mvua kubwa ilinyesha lakini bado classmates wakaenda ogelea ziwa voctoria tena mabinti. Mmoja alipozama mwingine akaenda muokoa naye akazama na watatu akaenda sema ana bahati wimbi alipoanza kuzama lilimpiga likamtoa kwenye kina kirefu. Wawili wakafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…