Mwanza: Wanafunzi Mapacha wa Chuo cha Mipango wafariki Dunia kwa kuzama Ziwa Victoria

Innah lillah wa Innah illah raajeoun. Mola awajaliie Mwanga na Amani ya milele waja wake.

Poleni sana wazazi na ndugu. Muumba asimame na ninyi kila sekunde ya wakati huu mgumu.

Kweli maisha ni Fumbo la Imani!

Sleep well sons. May your spirits shine for eternity.

It’s impossible to imagine the pain their parents and siblings must be going through right now!
 
Majinni yanayoishi kwenye maji.
Acheni imani potofu za kufikirika. Mnasahau ziwani na baharini kuna mawimbi makubwa yanayoweza kutokea ghafla na kumshinda nguvu muogeleaji mnaleta habari za hallucinations za majini. Majini ni hadithi za kufikirika tu km stori za mazimwi, aliens n.k.

Roho za hao Vijana Zipumzike Mahali Pema Peponi. Amina.
 
Usidandie treni kwa mbele, kasome nikichokijibu, kisha urudi useme nini ulichokielewa.
 
Acheni imani potofu za kufikirika. Mnasahau ziwani na baharini kuna mawimbi makubwa yanayoweza kutokea ghafla na kumshinda nguvu muogeleaji mnaleta habari za hallucinations za majini. Majini ni hadithi za kufikirika tu km stori za mazimwi, aliens n.k.

Roho za hao Vijana Zipumzike Mahali Pema Peponi. Amina.

Hao majini hutumia mawimbi kuwapotosha watu wabishi kama wewe kuendelea na ujinga
 
Mmoja msuli ulikaza akashindwa kuendelea kuogelea na mwingine alijaribu kumuokoa mwenzake ila akiwa katika harakati hizo na yeye akazama kwa kutokua na uzoefu wa uokoaji majini.

Hii nadharia inamake sense kuliko hii ya chunusi.

Uokoaji kuzuiwa kuendelea kisa giza naona ni udhaifu na siyo sifa nzuri.
 
Back
Top Bottom