Fahad Abdallah
Member
- May 8, 2020
- 93
- 327
Mtu unajiita Savage, ningeshangaa sana kama ungetoa hoja yenye mashiko.Bado zamu yako.Tena wewe ukikamatwa wakumiminie risasi za mat***k kabisa.Roho mbaya tu kutoa uhai wa mwanadamu mwenzako. Wameua baba za watu, watoto wa watu waume za watu na kuacha familia zao zikibaki na huzuni na mateso.
Hii haikubaliki kabisa Serikali iwachukulie hao polisi hatua kali sana kwa umwagaji huu wa damu.
Wahalifu nao wana haki ya kuishi na kufarahia matunda ya maendeleo CCM imeiletea taifa letu.
R.I.P watekaji.