Mwanza: watoto waliotekwa wapatikana, watekaji wauawa kwa kupigwa risasi

Mtu unajiita Savage, ningeshangaa sana kama ungetoa hoja yenye mashiko.Bado zamu yako.Tena wewe ukikamatwa wakumiminie risasi za mat***k kabisa.
 
Kazi nzuri Sana Afande Mutafungwa. Mmetoa mfano mzuri Sana Kwa sababu kama hao makhanithi wasingeuwawa wangekuwa wametengeneza precedent mbaya makhanithi wenzao wangeiga ingekuwa ndio trend .

Thanks God watoto WaPo salama
 
Semenya unaongea nini wewe wakati kamanda wao kawasifia ile mbaya
 
Kazi nzuri Sana Afande Mutafungwa. Mmetoa mfano mzuri Sana Kwa sababu kama hao makhanithi wasingeuwawa wangekuwa wametengeneza precedent mbaya makhanithi wenzao wangeiga ingekuwa ndio trend .

Thanks God watoto WaPo salama
Kesho kwa magembe wewe

Kumbe na wewe una amini uwepo wa God au umejisahau tu?
 
Kazi nzuri Sana Afande Mutafungwa. Mmetoa mfano mzuri Sana Kwa sababu kama hao makhanithi wasingeuwawa wangekuwa wametengeneza precedent mbaya makhanithi wenzao wangeiga ingekuwa ndio trend .

Thanks God watoto WaPo salama
Kama ilivyo nigeria utekaji ni biashara
 
Kazi nzuri jeshi la polisi.
Kamanda Mutafungwa njoo Dar hapa kuna mabingwa wa michezo hiyo.
Kaz nzur wapi yaani unamuua mtu Kwa risasi wakati kulikuwa na uwezo wa kuwakamata wakiwa hai Ili watoe taarifa zaid .
 
Kaz nzur wapi yaani unamuua mtu Kwa risasi wakati kulikuwa na uwezo wa kuwakamata wakiwa hai Ili watoe taarifa zaid .
Wangekuwa wezi wa kawida sawa utawapeleka kwa hakimu wakajitetee, lakini unateka vitoto kisha unataka wapelekwe polisi kama bibi na bwana harusi !! hapana.
Chapa risasi tu mambo yaishe.
 
Safi
 
Wangekuwa ni watoto wako ndiyo wametekwa ungeuliza hayo maswali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…