Mwanza: watoto waliotekwa wapatikana, watekaji wauawa kwa kupigwa risasi

Punguza ulevi
 
Kwahiyo ulitaka wale watoto ndiyo wauliwe? Hivi mpaka mtu kateka si amejiandaa kwakila kitu? Peleka wanao wakafanyiwe majaribio ya utekaji, wapeleke hata samalia.
 
Hapakua na kurushiana risasi,hiyo lugha inajulikana
 
Wafanyabiashara wa madini toka Mahenge Morogoro waliuawa na policcm ikasemwa ni majambazi. Kama sio rais Kikwete kutaka uchunguzi wa mauaji yale ufanyike nani angejua kwamba kuna polisi ambao ni majambazi?
Kuna jamaa/msikilizaji pale magic fm, alikua akipiga simu na kusema polisi na majambazi lao moja, ulikua mjadala,hadi hali ilipokua dhahiri
 
Jeshi la polisi hongera, bad guys dont deserve another day in paradise
 
Katika ubora wako😅
 
Hawakuwa na silaa za moto,walikuwa na mapanga na rungu
 
Wakikukuchoka ni chuma tu.
 
They got what they deserved !!
 
Inamaana hao watekaji hawana ndugu ama sio watanzania?

JF hakuna members aliye mitaa ya watejaji watupe stories za hao watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…