Mwanza: Watu 8 waripotiwa kupoteza maisha kwenye ajali ya Trekta na hiace huko Kisesa Magu

Mwanza: Watu 8 waripotiwa kupoteza maisha kwenye ajali ya Trekta na hiace huko Kisesa Magu

X-Agent

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
8,989
Reaction score
17,113
Watu nane wamefariki dunia na watano kujeruhiwa baada ya Lori kugonga trekta jana usiku.

Baada ya trekta kugongwa ilihama njia na kwenda kuigonga Hiace katika eneo la Kisesa, Magu mkoa wa Mwanza.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
 
Mungu awaponye majeruhi wote warejee na afya zao.
 
trekra bara barani ni hatari sana nafananisha na jiwe lililopo bara barani maana mengi hayana taa yeyote kuhashiria kuwa yanakata au yamesimama na ilitakiwa yakiingia bara barani lazima yawe escort mbele...
 
Hii imenikumbusha kna wakati fulani hko moro Gari iligongana na grader
Any way poleni

Ova
 
Back
Top Bottom