Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

Kwenye Mambo ya kitaifa ondoa mzaha

Huenda ww unadhani nimeandika hivyo kwa mzaha au bahati mbaya. Narudia tena, akifika huko aongee ukweli tu. Kama ukweli wa nchi hii ni mzuri basi itakuwa hivyo hivyo, kama ni kinyume, wakulaumiwa sio Mello bali wanaoinajisi nchi.
 
Kama vijana tutaona kilele cha mafanikio yetu na furaha yetu ni kutambuliwa na kuheshimika na mamlaka kuu za nchi za nje basi kiusalama tunakuwa number one threat.
Mkuu Maxence Melo anatambulika Tanzania, Africa na Dunia in General; Sidhani kama kina anayetambulika dunia nzima ni threat pekee; Kila Mtu ni Threat kwa namna yake, mazingira, kazi, siasa, uchumi as long as tuko high sisi sote ni threats.
 
Mello please hamishia server huko huko ili tuchangie uzi kwa uhuru....well done!
 
Mexence Melo amemzidi Chifu hangaya, hajui white house inafananaje
 
Maxence Melo ni beberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…