Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

Kama vijana tutaona kilele cha mafanikio yetu na furaha yetu ni kutambuliwa na kuheshimika na mamlaka kuu za nchi za nje basi kiusalama tunakuwa number one threat.
Kama mamlaka za ndani hazitaki kuona, kutambua na kuheshimu juhudi zetu, acha mamlaka za nje zitupe heshima hiyo.
 
Mkuu Kyange Sadam Hussein sio raia wa USA ni ngumu kwa raia wa USA mwenye akili akapewa kesi za ajabu ajabu USA wanatunza vipaji hata ukiwa mgeni kama una akili zaidi watakutumia...
 
Kila la kheri. Mola tuepushe isije ikatokea tena ya kuhamia Kenya Talk!
 
Hongera sana MAX Mungu akuongoze katika mambo yako adui zako watashindwa tu.
 
Shida ni kwamba yule mbuzi dume (Beberu mkuu) mwenzangu nae ni mtata sana kwenye issue za #PressFreedom maana amezi-label media zote asizozipenda kuwa #FakeNews ,so tunapeleka kesi ya Nyanyi kwa Ngedere.
Bora aisee akaelezee hii mambo kwa Beberu Mkuu
 
Ulivoandika white house nikajua kakutana kichaa Trump , kumbe kaishia kibarazani hahahaaaa. Muwe mnaripoti vizuri sio unampamba mtu kama gazeti la udaku ukisoma ndani unakutana na upupu mtupu.
 
Ili mradi tu asituletee demokrasia ya kizungu ya kutetea wafirwaji Na wafiraji!!! Eti wao hujiita LGBT!!! Vinginevyo abaki huko huko!
 
Kama vijana tutaona kilele cha mafanikio yetu na furaha yetu ni kutambuliwa na kuheshimika na mamlaka kuu za nchi za nje basi kiusalama tunakuwa number one threat.

Bora uheshimike na kutambulika na mataifa ya nje maana hao watatambua mchango wako kwa ubora wake, kuliko kutambulika na mamlaka za hapa nchini kwa kuficha uovu.
 
Wewe unakusaidia nini kuweka uzi wa uongo namna hii?
Meya wa arusha, kipenzi cha wanaarusha amewapungia..mkipungiwa na nyie pungeni.

Tena alichelewa kuondoka, katika vitu vilivyokuwa vinaniumiza ni yeye kuendelea kubaki cdm. Tunampongeza Mello jitihada zake zimetambuliwa mpaka na super power. Hapo nimeamini uwezo una nguvu kuliko hila. Ningemdharau sana kama angepata tuzo hii kwenye mbio za mwenge, ningejitoa hata humu jf.
 
Back
Top Bottom