Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

If he has something good for our beautiful land TZ[emoji1241] and our only lovely forum JF baby..i wish him all the best at his trip and meeting,no doubt he's gonna represent us well as he does always..
 
White House unaijua tu...Anglia ule mnara mweupe nyuma unauona sana ukiangalia movie za zilizochezwa mazingira hayo ni upo mbele ya maji yaliyo kama swimming pool ndefu ubaadhi wake mwisho hayo maji makumbusho ya ikuru na ubaadhi wake mwengine wamwisho ndio ikuru yenyewe kama kwenye movie ya Olimpus has fallen unadondoka uwo mnara.
Pembeni ya Washington Monument kuna maji hayo yakifuatiwa na Lincoln Memorial

Ikulu/WhiteHouse iko mbali kidogo kutoka hapo unaiona tu kwa mbali na si kuwa imeunganika na Monument au hayo maji

u may Google Washington Nationa Mall kupata jiografia kamili ya maeneo hayo
 
Rudi darasani ukajifunze kiswahili ndugu, uandishi wa namna hii ni aibu kwa kizazi chako na taifa kwa ujumla.

Back
Top Bottom