Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

Mwanzilishi wa JamiiForums, Maxence Melo atinga Ikulu ya Marekani (White House), awapa ujumbe vijana

Kuna watu wanapenda kujichumia madhambi bira kujijuwa endeleeni kutenda madhambi yenu yakujitakia ujuwe unapo mpotosha mtu anapo towa maoni ya mada yauongo ujuwe umemshirikisha dhambi tunaitaji habari zauwakika so tetesi hatutaki heli ukaanza naneno TETESI Apo sawa
 
Naomba trump ampe host ya JF uko USA na wafungue office uko uko ili tuwe free kabsa kuanzisha mada na comments
huu ndio mfano halisi wa utumwa ni fikra! Kwani sasa nani kakuzuia kujiachia kistaarabu! Kama vipi omba ukimbizi ukaishi huko basi!
 
Erythrocyte, Safi sana,college mate,DIT 2003!
Wewe ni dhahabu! Ungekuwa mzungu,waafrika wangekusifu kama Mark zuckerberg wa Facebook!
Wakati Facebook inaanzishwa,kuna watu waliona jambo la miujiza sana, na wakamuona Mark kama genious vile!laiti wangejua kwamba hapa bongo,miaka ya 2000,kuna vijana walianzisha mtandao wa kuchart wa Bongo 5!
 
Congrats Max
Angalia 'mapozi' yasijeleta kesi nyingine! za Kisutu zinatosha
 
Awe makini, maana watasema jamiiforum inashirikiana na mabeberu kuhujumu inchi
 
Kwenda hapo ikulu SIO inshu sana kama mnavyodhani hata WEWE unaweza tuma maombi NA ukaenda kutembea hapo ikulu,
 
Naamini Mh. Rais Rais Magufuli umefika wakati wa kutambua mchango wa Max Mello & associates na Jamii Forums kwa ujumla,katika kuibua kero, kashfa na utendaji mbovu wa baadhi ya watumishi, idara na taasisi za umma na serikalini kwa ujumla.
Bila JF naamini Tanzania ingekuwa mbaya sana sana kiuwajibikaji.
Kongole Max na timu nzima ya Jamii.
Mungu awabariki.
 
Huyu jamaa ni kichwa sana sema yupo Nchi masikini ambayo inawachukia watu wenye akili wanapewa kesi za ajabu ajabu tuu...
[Nchi inayoongoza kwa kuwapa watu wenye akili kesi za ajabu ni Marekani. Mfano mzuri uanze kwa Saddam Hussein]
 
Back
Top Bottom