Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ok Poa basi 'mkuu'Hahaha hpn inategemea na inayendekeza nimempa thaman gan ktk moyo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok Poa basi 'mkuu'Hahaha hpn inategemea na inayendekeza nimempa thaman gan ktk moyo wangu
Aya mkuu
Wamekuelewa Mkuu
Mkuu,hutaki cheo cha ukuu?
tumekusikia mkuu
Mkuu pole sana ndio hivo humu hakuna tofauti tunatambuana kwa hoja sio jinsia mkuu
[emoji13] [emoji13]Mkuu wamekuelewa..
Hahaha, ID yako kwa kiswahili ni nani (sio nyama ya ng'ombe ...........)bora wewe ni, naona ni her mtu aniite kwa jina la id yangu kuliko mkuu
Hapana niite kama ulivyoniita mwanzon inanoga sanaOk Poa basi 'mkuu'
sawa mkuu.kwakwel nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini. wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakwel.
Sawa bebyHapana niite kama ulivyoniita mwanzon inanoga sana
Thanks bby loveSawa beby
[emoji105] [emoji105]Thanks bby love
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji105] [emoji105]
kwakwel nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini. wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakwel.