Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Umemaliza kila kitu Pal"Kwanini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kitu Pal"Kwanini??
Mm ni mlevi wa animation mkuu ninazo kama 150. Animation ndio aina ya muvi ambayo hua sifuti zingine zote hua nafutaMoana sikua mpenzi wa animation best friend alinishawishi nikakutana na moana sasa ivi nmekua teja kuliko yeye.
Bravoo.
Splendid narration mate✍️Ukweli ni kwamba vingi tu sijaandika maana nilikua nishajichokea zangu. Nilitaka niifanye iendelee ila nikaona that's not my style
Mkuu sio kua unatupiga na kitu kizito??We are voyages when moana shouted in excitement ..
Mwanangu wa hiyari alikuwa na 1 year old hatujawahi msikia akiongea ... Ila alifuatisha maneno Kwa sauti kubwa ...
We are boichuzi .. we are boichuzi .. and that became his first word ..
Kwa mshangao na furaha Tulicheka sanaaaa