Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

Moana sikua mpenzi wa animation best friend alinishawishi nikakutana na moana sasa ivi nmekua teja kuliko yeye.
Bravoo.
 
Moana sikua mpenzi wa animation best friend alinishawishi nikakutana na moana sasa ivi nmekua teja kuliko yeye.
Bravoo.
Mm ni mlevi wa animation mkuu ninazo kama 150. Animation ndio aina ya muvi ambayo hua sifuti zingine zote hua nafuta
 
We are voyages when moana shouted in excitement ..

Mwanangu wa hiyari alikuwa na 1 year old hatujawahi msikia akiongea ... Ila alifuatisha maneno Kwa sauti kubwa ...

We are boichuzi .. we are boichuzi .. and that became his first word ..

Kwa mshangao na furaha Tulicheka sanaaaa
 
Kupitia hii move nilipata idea ya kuandika uzi mmoja naoupenda sana.
 
Huu ndio wimbo nilioupenda zaidi kwenye Moana, jinsi huyo crab anavyoringa nilikuwa nacheka sana.

Umeandika vizuri πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½
Moana live action movie concept art
 
Mkuu sio kua unatupiga na kitu kizito??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…