Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

Huu ndio wimbo nilioupenda zaidi kwenye Moana, jinsi huyo crab anavyoringa nilikuwa nacheka sana.

Umeandika vizuri πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Uzi mzuri sana

Moana sikua mpenzi wa animation best friend alinishawishi nikakutana na moana sasa ivi nmekua teja kuliko yeye.
Bravoo.

Watoto wangu wanaipenda sana hii Moana

Kulikua kuna plan ya kutengeneza series ya Moana ambayo inngetoka mwaka huu through Disney+. But wameibadirisha haitakua series bali movie. So this year tutapata kuona Moana 2 panapo majaliwa yake Allah.

Mwakani Mungu akitufikisha tutaona Live action ya moana... So we have 2 upcoming projects relating to Moana.


View: https://youtu.be/cZSywj-vkxA?feature=shared
 
Keep us updated, thanks.
 
The biggest idea ever pitched in film history 🀣🀣🀣
 
Sawa kwa leo mshindi Wewe, ni vile tu sina ushahidi ndio maana, siku ukicomment tena nitakukumbusha πŸ˜€πŸ˜€
I once wrote this topic for you...
Hopefully you won't believe it.
 
I once wrote this topic for you...
Hopefully you won't believe it.
Oh my bad sikuwahi kuiona hiyo tag ndio kile kipindi natumia app ya zamani ilikuwa haileti notifications zozote, thanks for the tag rafiki imebidi niusome japo nimechelewa lakini ni uzi mzuri sana mengine nilikuwa nafahamu mengine sikuwa nafahamu, Moana bado inabaki kuwa one of my favorite animations na Encanto pia imeongezeka kwenye list
 
I know you are a fan of her so I thought you would like it. So in my mind I wrote this strictly for you though you caught it late..
I don't hate women since you're one of them and to me you're my favorite person in here. It's just... Ufff I can't say it here.
But nafurahi kama andiko limekufurahisha.
 
Ofcourse i liked it mate

Even I was Surprised to see such comments coming from you, leaving me thinking to myself what had happened to you, anyway no hard feelings my dear

Thanks for being one of your favorite persons in here, Im humbled you know, 😊😊
 
You're one of a kindto me. Always, you deserve to be humbled
❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…