Mwanzo mwisho wa maisha ya Franco Luambo Makiadi

[emoji16][emoji16][emoji16]Poa mkuu,ila unaweza tafuta page kwenye gazeti ukawa unapata Pesa ya mboga kama sauti miyeyusho,hata kama kwa week ni mara moja
Ingawa mimi naifanya kama burudani, lakini nasema asante sana kwa ushauri chief
 
Kuna maneno yasiyothibitishwa kuwa Bavon Marie aliuliwa na nduguye Franco ili yeye Franco aendelee kimuziki

Sent using Jamii Forums mobile app
Tarehe 5 Agost 1970 Bavon Marie alifariki katika ajali ya gari baada ya ugomvi uliotokana na mpenzi wa Bavon aliyeitwa Lucy, ambapo Bavon alimshutumu kaka yake kuwa kalala na mpenzi wake huyo. Ajali hiyo ilisababisha Lucy akatike miguu. Kuna watu wengine wanasema kisa kilikuwa ni ulevi tu wa Bavon ulisababisha bendi yake ishindwe kufanya show nae akawa kakasirika kwa hilo na kuendesha gari kwa fujo na kuishia chini ya uvungu wa roli kwenye njia panda. Pamoja na upigaji wa gitaa Bavon pia alikuwa mtunzi mzuri sana wa mashahiri ambayo yaliwagusa watu. Kwa mfano wimbo wake wa 'Mwana 15 Ans'…Mtoto wa miaka 15, Bavon aliongea kama binti wa miaka 15 ambae ana uchungu kwa kuwa familia yake inamtafutia mchumba japo yeye anataka kwenda shule. Hadithi ambayo wote tutakubali mpaka leo inamaana sana katika jamii za Kiafrika.
 
Doh, umenikumbusha mbali saana. Mwaka 1971 nilitokea kuupenda sana wimbo wa Maseke ya Meme (Franco na TP OK Jazz) ulioimbwa na Youlou Mabiala na Franco. Huu wimbo ulibamba sana enzi hizo. Hapa Franco alikuwa anamuimbia marehemu Bavon Marie. Maseke ya Meme (Manyoya ya kondoo)

Safi sana mkuu...
 
Back
Top Bottom