Mwanzo mwisho wa maisha ya Franco Luambo Makiadi

Kwamba alimtoa kafara?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, Bavon Marie alifariki tarehe 5 Agost 1970 katika ajali ya gari baada ya ugomvi uliotokana na mpenzi wa Bavon aliyeitwa Lucy, ambapo Bavon alimshutumu kaka yake kuwa kalala na mpenzi wake huyo. Ajali hiyo ilisababisha Lucy akakatika miguu yote mwili.
 
Sasa ugomvi na Lucy unaletaje ajali mkuu?
 
Back
Top Bottom