Mwanzo nilidhani wanapendana, urafiki wa walevi ni wa mashaka tele!!

Kwanini mwanaume unakuwa unapenda vya bure?
 
Kumbe nawe umo?
Mimi niache kunywa kwa sababu gani?Nicheze bao au nianze biashara ya kusengenya watu na kuangalia nyendo zao?Huo muda nakuachia wewe.Mnajiita wapendwa ila ndiyo bure kabisa.Kusengenya watu tu.
 
Hebu ngoja kwanza, hayo uliyosema wanywa soda huwa wanasaidiana.

Kwa ufupi sisi wanywaji tukikaa bar huwa tunafundishana namna ya kupata pesa na sio kupeana pesa.
Na ndio maana tukinunua ktmt huwa tunapenda tule pale pale, sio mmoja ajitokeze aseme hii nigawe kidogo niwabebee wanangu.

Kwa ufupi matatizo ya nyumbani yatabaki kuwa ya binafsi isipokuwa tu pale itakapoelezwa vingine.
 
Kwani mlevi mwenzio akikuomba pesa kidogo, na unayo, ukimsaidia akale na familia Yako, unaona atafaidi sana au atakuzidi unaona?
 
Mimi niache kunywa kwa sababu gani?Nicheze bao au nianze biashara ya kusengenya watu na kuangalia nyendo zao?Huo muda nakuachia wewe.Mnajiita wapendwa ila ndiyo bure kabisa.Kusengenya watu tu.
Basi nisamehe ikiwa unaona nakusimanga🙏
 
Kwani mlevi mwenzio akikuomba pesa kidogo, na unayo, ukimsaidia akale na familia Yako, unaona atafaidi sana au atakuzidi unaona?
Kwani umewatembelea au kuishi na unaotaka kuwaita walevi(wanywaji)wote duniani ndiyo ukaja na hitimisho kwamba hawasaidiani au kupendana?
 
Mada ya walevi, wanywaji wanafuata nini?

Wewe binafsi Huwa unawasaidia walevi wenzio?
 
Ndivyo mlivyo.Muda wote kuongea kuhusu watu wengine tu.Ninyi shikeni biblia mkariri mistari,muite wapendwa wenzenu mpeane mbinu za kwenda mbinguni,basi!
Tuliookoka tumefundishwa Upendo,

Tungependa Mbinguni tuuingie wote.

Hata Yesu aliwahubiri walevi na wengine walimwamini na wakawa wanafunzi baada ya kuacha pombe.

Ulevi ni gereza ambalo MFUNGWA ( mlevi) hawezi jinasua mwenyewe bila msaada wetu.
 
Mada ya walevi, wanywaji wanafuata nini?

Wewe binafsi Huwa unawasaidia walevi wenzio?
Kwa nini nisiwasaidie kama ninacho anachokihitaji/fedha,ushauri nk?Wewe umejijengea kichwani vitu vyako vya kufikirika utadhani unawajua watu wooooteee!Acha hizo.Utajikuta unaenda motoni kwa masengenyo halafu unayemuona mdhambi anakucheka tu akiwa anapiga tarumbeta mbinguni.
 
Hivi mbona wanywa juice au soda huwa hawanunuliani? Ni upendo mkubwa tena usio na Shaka kumpelekea mtu kitu ambacho unajua anakipenda. Haya nyie wanywa vitu vya kuleta utitiri wa inzi na nyuki huwa mnaleteana majumbani. Kwa taarifa tu walevi au wanywaji wanapigana kampani Sana ila siyo kwenye kikao cha kumwagilia moyo.
 
Tuliookoka tumefundishwa Upendo,

Tungependa Mbinguni tuuingie wote.

Hata Yesu aliwahubiri walevi na wengine walimwamini na wakawa wanafunzi baada ya kuacha pombe.

Ulevi ni gereza ambalo MFUNGWA ( mlevi) hawezi jinasua mwenyewe bila msaada wetu.
Hayo mahubiri yako hautumii mbinu na hayana mvuto.Peleka kanisani kwako.
 
Back
Top Bottom