- Thread starter
- #41
Mbinguni walevi hawaingii,Kwa nini nisiwasaidie kama ninacho anachokihitaji/fedha,ushauri nk?Wewe umejijengea kichwani vitu vyako vya kufikirika utadhani unawajua watu wooooteee!Acha hizo.Utajikuta unaenda motoni kwa masengenyo halafu unayemuona mdhambi anakucheka tu akiwa anapiga tarumbeta mbinguni.
Ndio maana tunawahubiri Ili waache ulevi warudi kupata muda wa fellowship ya maombi binafsi na familia Kwa ujumla.
Ubarikiwe!!