Kwa nini nisiwasaidie kama ninacho anachokihitaji/fedha,ushauri nk?Wewe umejijengea kichwani vitu vyako vya kufikirika utadhani unawajua watu wooooteee!Acha hizo.Utajikuta unaenda motoni kwa masengenyo halafu unayemuona mdhambi anakucheka tu akiwa anapiga tarumbeta mbinguni.