Mwanzo nilijua ukiwa tajiri basi umejiepusha na kero ndogo za serikali kumbe tabu iko palepale

Ndugu ni kweli hizi kero za makusudi kabisa, wanajenga barabara leo halafu wanafumua kesho ili wajenge tena kitu kile kile
 
Kama unakutana na hayo bado hujawa tajiri.
Hamna kitu kama hicho..labda Rais tu ndo hana kero..Mo Dewji tayari yule - alipotezwa akarudi yuko kimya, yule tajiri Telegram..France wamekamata juzi wakamuweka rumande kwa muda .
Matajiri wa hapa Bongo kutwa kucha kujipendekeza kwa serikali au kujiunfa CCM hata kama hawapendi ili mambo yao yaende - kero zote hizi.
Roman Abramovich - tajiri wa Chelsea - kalazimishwa kuuza timu aipendayo, wamekamata mali zake n.k.
Dangote juzi hapa alikua analalamika kama mtoto hana cha kufanya - kajenga refining kubwa Nigeria then serikali inaanza kumuhujumu.
Trump tajiri - billionaire - ex US president, current mgombea republican - walikikosa kichwa kwa risasi by milimetres, juzi hapa wamemkosakosa tena..
Mama Samia juzi kaongea kwa jazba sababu ya kero - watu wanaongea mitandaoni mpaka wanawezakupa heart attack..huyu ni Rais wa nchi, tajiri pia kw sasa.
Mifano ni mingi.
Achilia mbali kero za kuombwa bahasha, TRA.n.k
KERO ZIKO PALEPALE TU..tena ukiwa tajiri ndo hatari zaidi..
 
Tabu iko pale pale😂😂
 
Kero nyingine inayokuwa kwa kasi ni kutujazia Frame kila kona na kuharibu muonekano wa Majiji na Mikoa
Bora hizo zinavumilika lakini kuna zile za waziwazi kabisa ambazo ni makusudi ya serikali kutokuwajibika!
 
ni ubatili mtupu, kila kitu ni ubatili.

MHUBIRI 1:2

“Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.

— Mhubiri 1:2 (Biblia Takatifu)
 
ni ubatili mtupu, kila kitu ni ubatili.

MHUBIRI 1:2

“Mhubiri asema, Ubatili mtupu, ubatili mtupu, mambo yote ni ubatili.

— Mhubiri 1:2 (Biblia Takatifu)
Sisi tunazungumzia kero! ...ni kweli ni ubatili lakini kwani hizo kero za hovyo ziwek katika nch zetu tu!?

Hilo andiko lako umelitumia pasipo sahihi tofautisha KERO na ANASA!

Bibilia kupitia mhubiri alisema hivyo ili binadamu wasifanye ANASA na kumsahau MUNGU!

Hapa tunajadili kero!
Kero ambazo hata ukiamua kufuatilia kibari chakufungua kanisa sehem sahihi utakutana na watoa huduma wanaokupa kero na usumbufu usiyokuwa na kichwa wala mguu
 
unafahamu maana ya neno batili? ubatili ni anasa?
 
Nimekwambia neno ubatili limetumika kuonya watu wasiendekeze ANASA ...usijidai bibilia unasoma peke yako!

Hapa tunazungumzia KERO za makusudi zinazoletwa na uzembe
neno linasema mambo yote ni ubatili mark the words "mambo yote"!
unakwama wapi mkuu

dunia yote haina lolote la maana kwa kuwa dunia yote yakaa chini ya yule mwovu (shetani) 1YOHANA 5:19

DUNIA YENYEWE NI BATILI!!!!!!

kero duniani zitakuwepo milele. ndio maana Bwana Yesu alienda kutuandalia makao mbinguni!

ni mbinguni tu ambako kutakuwa hakuna kero.
 
bado hujawa tajiri
 
Kwahiyo huo ubatili unakujaje kwenye kero za kuutumia huo ubatilj?

Kwaninj nchi za wrnzetu huo ubatili hauna kero za makusudi kama hapa kwetu?
Au wao ubatili wao haupo duniani kama sisi?
 
Kwahiyo huo ubatili unakujaje kwenye kero za kuutumia huo ubatilj?

Kwaninj nchi za wrnzetu huo ubatili hauna kero za makusudi kama hapa kwetu?
Au wao ubatili wao haupo duniani kama sisi?
Nenda kasome Bible tena ndugu ujue namna ya kuitumia!

Kuna sehem ya kuomba na sehem ya kuonya na kukemea! Kero za makusudi hazihitaji maombi bali maonyo na makatazo
 
More money more problems...
 
Kwahiyo huo ubatili unakujaje kwenye kero za kuutumia huo ubatilj?

Kwaninj nchi za wrnzetu huo ubatili hauna kero za makusudi kama hapa kwetu?
Au wao ubatili wao haupo duniani kama sisi?
pointi yangu ya msingi ni kuwa kila kitu duniani kina kasoro yake haijalishi ni nchi ipi. Duniani ni duniani tu, kero zitaendelea kuwepo tu. Duniani sio peponi.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…