The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Rubbish 🚮🚮🚮Nyinyi ndio mnafanya ujinga kwakusifia sifia hovyo mkidhani ndio heshima kumpe ni upumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rubbish 🚮🚮🚮Nyinyi ndio mnafanya ujinga kwakusifia sifia hovyo mkidhani ndio heshima kumpe ni upumbavu
Unajua niliajiri wangapi before??Mdomo kila mtu anao.Pili unaweza tengeneza ajira kama uchumi wa Nchi ni mbaya ? Hilo linahitaji uchumi wa Kati? 😄😄😄😄😄😄😄😄
Wenyewe tumeridhika... Mungu atusaidieNchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo Karibu asilimia 88%,bado inaagiza mbolea ila inakopa ma trillion ya pesa kwa ajili ya kujenga madarasa na matundu ya vyoo. Tatizo la Tanzania sio pesa, hii nchi haina viongozi wenye maono ya kuivusha nchi hii. Wachumia tumbo wote.
Upinzani wa ndani si wa njeMatatizo ya mama faida kwa upinzani jamaa wanamchora tu
Huko before ndio wapi? ThibitishaUnajua niliajiri wangapi before??
Ndani ipi? Nani anaweza thubutu kusimama na Mama huko CCM?Upinzani wa ndani si wa nje
Ukomo wafikra kwa jopo lake la ushauriSerikali haina hata mbinu za kunasua wananchi wake kwenye huu mkwamo wa kiuchumi.
Rais hana hata njia mbadala ya kukabiliana nalo.. anaendelea kuchochea moto tu. hadi tuone nyekundu.
Nifuate private najiamni sina mgogoro na tra nikusibitishieHuko before ndio wapi? Thibitisha
Hata wewe uliyekata tamaa unaweza kumshindaNdani ipi? Nani anaweza thubutu kusimama na Mama huko CCM?
Tuko live hapa,pm kufanya nini? Siwezi kukufuata tuma vithibitishoNifuate private najiamni sina mgogoro na tra nikusibitishie
Alifeli kabla ya janga la duniaKwa hili mama hana ujanja, ni janga la dunia yote.
Status yako hii hapa 👇Hata wewe uliyekata tamaa unaweza kumshinda
Wewe sindio unavihitaji njoo pm mzee tena karibu na kwangu nyumbani 😀Tuko live hapa,pm kufanya nini? Siwezi kukufuata tuma vithibitisho
Wakati tunakaribia kuingia kwenye debite stress country au hukusoma reportTunakopa tena
Wakati tunakaribia kuingia kwenye debite stress country au hukusoma reportTunakopa tena
Hopeless kabisa😂😂
Ila hili la mafuta!!! Litatupa akili jinsi ya kupiga kura.
CCM kutoka madarakani ni sawa na wewe umfukuze baba yako nyumbani kwakeWasipobadilika watatoka tuu
Maisha yalikuwa hivi hivi toka awamu ya tano. Tofauti ni vigelegele vimepungua.Salam kwa Jamhuri
Kama raia wa kawaida mwenye mamlaka kamili kulinda na kuisimamia nchi yangu sitasita kuusema ukweli ninaoushuhudia na kuuchakata kichwani mwangu kisha kushauri inapobidi kutenda.
Dhahiri shahiri Serikali hii ya awamu ya sita haikujiandaa kwa lolote kuwepo madarakani, hivyo si ajabu kukosa muelekeo sahihi kuichumi kwa sababu:
1. Mitazamo ya awamu ya 5 na 6 ni tofauti na ilipaswa kuendeleza.
2. Inawezekana awamu ya 5 ilikuwa na friction nyingi kuliko uhalisia.
3. Hata sasa kuna mgongano wa ki ideology kwenye kuendesha Serikali.
Wakati awamu hii inashika hatamu ilijikita katika kufungua nchi pamoja kuomba mikopo na misaada na lakushangaza ilifanikiwa kupata mkopo mkubwa kuliko kutokea Jamhuri ya Tanzania.
Serikali imeshindwa kuelewa tatizo la nchi yetu si kupata mikopo misaada ama makusanyo bali ni usimamizi wake. Mega project hazieleweki hatma yake mpaka sasa.
Sasa impact ya hela zilizoingia bado hazionekani, mdororo wa uchumi unazidi kuongezeka ikiwa hakuna matumani.
Hakuna matumaini kwa sababu, mwazo tunalalamika na mifumuko ya bei inayosababisha ugumu wa maisha ilikaa kimya baadaye sababu ikawa haikujiandaa na vita ya Urusi na Ukrene (kisingizio) ambayo tulionja joto yake mapema wiki ya pili ya vita.
Juzi mama akafichua tulichofichwa kwamba hata uchumi wa kati tulishadodoka chaliii...
Sasa awali ya yote tulishaanzishia mitozo kedekede kabla sasa, je huko mbele Serikali hii imejipangaje kututumikia sisi wenye nchi tuliowapa dhamana kuboresha uchumi wetu?
Hii hali mbaya tunayoipitia isipo kuja na jawabu kabla hujawajibika wewe Mh. Rais unaebeba dhamana ya Watanzania wote tunakuomba uwajibishe Baraza la Mawaziri wako ama washauri wako wa uchumi.
Watu wamechoshwa na siasa za kuremba makaburi wakati ndani ni uozo, tunakutana uwajibike kweli kweli hii tabia ya kutengeneza sababu ya kila tatizo tumechoka tunataka suluhisho.
#kaziendelee!