Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

Wenyewe tumeridhika... Mungu atusaidie
 
Serikali haina hata mbinu za kunasua wananchi wake kwenye huu mkwamo wa kiuchumi.

Rais hana hata njia mbadala ya kukabiliana nalo.. anaendelea kuchochea moto tu. hadi tuone nyekundu.
Ukomo wafikra kwa jopo lake la ushauri
 
Maisha yalikuwa hivi hivi toka awamu ya tano. Tofauti ni vigelegele vimepungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ