Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

Maisha yalikuwa hivi hivi toka awamu ya tano. Tofauti ni vigelegele vimepungua.
Acha uzwazwa,hawamu ya Tano, tulikuwa tunanunua mfuko wa mbolea elfu 45,000/Sasahivi hawamu ya sita tunanunua 130,000/nondo mm 18 tulinunua 18,000 Sasahivi 27,000, Mchele tulinunua 1300, Sasahivi 2000, mafuta ya kula ndio usiseme kidumu cha lita 1cha korie tulikuwa tunanunua 3500 hadi 4000, Sasahivi 7000,kila kitu kimepanda baada ya kibibi kushika madaraka, Sasahivi anasingizia vita ya Ukraine, wakati vitu vilisha panda siku nyingi.
 
-Serikali ibane matumizi yasiyo muhimu
-Rais Uhuru Kenyatta,Jana ameidhinisha kuhamisha fedha kutoka kwenye mfuko Mkuu wa Serikali (Consolidated Fund) kwa ajili ya kutoa ruzuku kwa waagizaji wa bidhaa za mafuta,kwa lengo la kuzuia upandishaji wa bidhaa za petrol
-Waziri wa fedha wetu Dr Mwigulu ameshindwa kumshauri Rais njia sahihi za kukabiliana na tatizo na Covid-19 na Vita ya Ukraine.
-Serikali ifirikirie kupunguza baadhi ya kodi na ushuru unaotozwa kwenye mafuta(VAT,Ewura Levy etc)

Ushauri
-Serikali iangalie upya suala la kupanda kwa Bei za mafuta
 
Hizo bei hata enzi za Jakaya za ruzuku hazikuwepo kwa hiyo acha uongo.
 
Kama huyo mwigulu mi ndo simuelewi kabisaaa
 
Tuamke sasa tunapelekeshwa mnoo

Mkuu waswahili ni kama kenge,,, hadi Damu zitoke ndio wanaelewa...

Serikali inachofanya sasa ni kuwatoa damu kenge ili wajue wameumia,,,, Bidhaa zikipanda kuna namna kila mwananchi ataelewa nani Mchawi..

Hapo sasa tunaweza fanya maamuzi magumu na hata ukiwaeleza watu itakuwa rahisi kuelewa
 
Hivi unavuta bangi ya mbegu au ya majani?
 
Kweli makenge yenyewe mtaani yanasema hata vipande vip watakula tuu
 

Nakubaliana nawe kuwa tatizo siyo misaada, mikopo wala makusanyo ! Bali ni mipango mizuri na usimamizi mzuri wa kisayansi na kitaalam wa miradi yote ya Taifa.

Nakubaliana na wewe kwamba tatizo siyo mikopo, misaada ama makusanyo bali ni usimamizi makini wa miradi ya Taifa. Kitaalam na kisayansi.
 
Nchi zinazojitambua๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Mapaka(Nchi isiyojitambua)๐Ÿ‘‡๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ