Mediation
1. Kwanza akili inafanya meditation kuondoa matatizo ya akili
2. Halafu mwili unafanya meditation kutanzua matatizo ya mwili,to direct the metabolism. Kama ,kwa mfano,unaumwa cancer,your body is mentally insane.
Baada ya hapo,kama unafikiria jambo lolote,think of it with your body,and with your mind.
Mediation ina hatu nne,
1. Kwanza akili yako inatanzua matatizo yako ya binafsi,kuhjusuina na watu,kuwa efficient katika kazi,kuwa proficient katika kazi.
2.Halafu mwili wako unapaswa kuwa in rapport with the manu of the nation. Manu ni mwangalizi wa Taifa. Every nation has a manu. Pia major cities of the world have each a manu. Manu ni incisible spiritual guide.
3. Your overself,ruhani wako,lazima utafakari sana na aklil yako kufikiria jinsi ruhani wako anavyoweza kuendelea kiroho. Yaani ruhani wako naye lazima atafakari zaidi na ziaidi jinsi atakavyokuongoza.
4. You are connected to your overself with a silver cord. Your overself is connected to a Higher Being through the golden cord. In this fourth meditation,you contact your overself through the silver cord,and contact that Higher Being through the golden chord.
Lakini strictly speaking meditation ni
1.Kusoma passage au kuisikiliza.
2.Kuelewa maana yake ,kuelewa kila kitu kilichosemwa
3. Kukagua,kuona kama kuna jambo lolote la maana limesemwa pale,and to focus your mind on it,yaani ile sehemu ambayo ndiyo important,kuitafakari kwa urefu zaidi.
Jana tulikuwa lunch Butiama na Frederick Sumaye na Butiku. Na Butiku alikuwa anaongea kuhusu Chief Makongoro,jinsi ambavyo Chief Makongoro alikuwa anasema,mtu asilale usiku na kuamka bila kufikiri. Na Butiku akatoa ushauri kuhusu kufikiri usiku,akasema,mawazo yakikujia usiku,yaandike,ama sivyo utayasahau.
Mimi sikutoa comment yoyote Butiku aliposema hivyo. Lakini this is true,wakati mwingine pale unapoamka,when you are half asleep,unasikia whispers,ambazo sometimes ni useful information.