Aura:
Kila Kiumbe Hai Kinahitaji Oxygen kuishi kina aura...
aura ambayo inaweza kusomeka kigumu au kirahisi wanyama huwazidi binaadamu katika kutumia aura
maana wao hawahitaji lolote kusaidia kutumia aura zao kwani ziko automatically
Aura:
ni Nguvu au Miale Inayozunguka mwili wa kiumbe au binaadamu na kina mtu anayo na ni tofauti tofauti kwa rangi na wa movement
aura zingine zina vepour kwa mvuke wa mawimbi zingine zina vapourization huku zime nyooka na zingine zimeganda tu....
Sote twaweza kusema kama mtu anaumwa au anafeeling mbaya na kadhalika
sasa unaapotumia aura unakuwa unaelewa zaidi ya kawaida huitaji kupiga ramli ili kujua aura yako wala huitaji kucharge power ili uone aura yako
nitawafundisha njia sahihi zaidi na rahisi za kusoma aura yako all you have to do is still here...
Kuna Baadhi Ya Watu Kama Kina Rakims Wanaweza Kuvuta Some Of Your Energy Kama Amechoka Kwa Aura Na Ikahamisha uchangamfu Wako Kwake Na Wewe Ukapata State Ya Mchoko
Hivyo Waweza Kumbuka Barah Benaun Na Asaki Mlipokutana Na Teacher Hakufeel Ok Kuwasalimia Kwa Kushikana Mikono...
Sorry About That!!!!!!
Mfano: Kuna Mtu Akikukaribia kama ulikuwa unahisi joto unapata baridi au kama baridi unapata joto this means your Aura Is Too Weak And you Have To Charge It...
Pia Akikusogelea Waweza Kuwa ni kibonge Ukahisi Ni Mkubwa Kwako Hali Ya Kuwa Ni Mdogo sana Na Waweza Kujiona Mwembamba Hali Ya Kuwa NI Kipande cha mtu....
Aura Ni Mvuke Unaoweza Kuwa Futi 3 Kutaka Mwilini Kwako Japo Ni Mvuke au Moshi Ila Hauzidi hapo tofauti na vitu kama udi n.k hufika fee 50---
Aura:
Pia Inaelezea Tabia Ya Mtu Na Inamuelezea Mwenyewe Alivyo:
yupoje..
Aura Ipo Ki Spirit Zaidi Hivyo Ukiangalia Mtu Waweza Kumjua Huyu Mpole Huyu Mzuri Huyu Mbaya etc..
Aura Colours:
Maisha Yamejaa Rangi Nyingi Sana Ambazo Zimejitosheleza Na Kila Rangi Ina Mana Husika Kutokana Na Eneo Husika
Sio Lazima Uwe Msoma Rangi Ndio Uweze Kujua Maana Ya Rangi Hapana Hata Kama Umeishia Standard 4 Rangi Waweza Kuzisoma Na Kuzielewa Zaidi Ya Yule Aliezisoma Miaka Mingi
Ifuatayo Ni Maelezo Ya Kila Rangi Ya Aura Na Maana Yake Kabla Hatujajua Aura Zetu Zina Rangi Gani Em Kwanza Tuangalie Je Nini Maana Ya Rangi Hizo:
Aura Colours/Rangi Za Aura:::
Red/Nyekundu:
Rangi Hii Ya Aura Huonyesha Watu Wenye Nguvu Zaidi Wanaotafuta Mambo Mapya Daima Na Kutafuta Maajabu Pia Umaarufu also are enthusiastic and energetic individuals...
Wao Hupenda Vyakula, Safari na Wapenzi Popote waendapo, Maana Sahihi Ya Mtu Huyu Rangi Yake Humuonyesha Kuwa Ni Mtu Wa Kupenda kujaribu kila aonacho Maana Rangi Yao Hupenda
mambo Ya kupima pima other called them devils for what they make themselves do mimi nikikutana na wewe Una rangi Hii Naangalia Pembeni Halafu Nacheka Najua Yule Pablo Mzee Wa Katafunua..
Wenye Rangi Hii Ni Wepesi Sana Kupoteza Ustahamilivu Wa Mambo Na Ukifanya Nae Urafiki Hauchukui Raundi Kama Na wewe Una Rangi Hii..
Mambo Madogo Tu Huwafanya Wanakuwa Upset Na Hujaa Nguvu Pindi Wanapoitwa Kusaidia Lolote Iwe La Heri Au La Shari..
Ni Wenye Nguvu Kimwili Na Kiakili Pia Na Hawaumwi Hovyo Hovyo Kama Wewe..
Hawa Hupenda Kuwa Phsycal Na Utawapata Sana Kwenye Michezo.. Hawa NI rahisi Sana Kuboeka Na huwai Kuhama kama Kimapenzi n.k Lakini Pamoja Na Udhaifu Wao Akikuamulia Kufanya Jambo Moja Basi Mwisho Wa
Siku Hukamilika Tu Kwa Hiyo Kama Una rangi Hii Jitahidi Kustick On One Thing Until You Complete Ndio Uhamie Jingine..
Sio Wasiri Na Sio Waoga Lolote Ukitaka Kujua Kutoka Kwao Watakwambia Tu Bila WAsi wasi..
Lakini Kubwa Walilonalo Hupenda Kuwa Wa Kwanza kila Sector hii huwapelekea kufanikiwa sana baadae chunguza baadhi ya mijitu iliyofanikiwa... angalia aura zao...
Yellow Colour:
Wenye Rangi Hii Ni Analytical, Logical na Very Inteelligent..
Hawa Hupenda kufundishana na kufundisha wenzao wasioyajua na hupenda sana mambo ya sayansi Pia Hupenda sana Kufanya Kazi Bila Kuali Mapumziko Hawa Hujali Sana Kazi Kuliko Mapenzi..
Wewe Ni Mchaga Soma Aura ya hawa watakusaidia kuingiza hela hahaha...
Hawa hufurahi Wafanyapo Kazi Kiupweke Na Hawateseki Kuwa Wapweke Hawa Stress kwao ni kama ugonjwa hawana time na stress wao kila jambo huona poa tu pia Hupenda sana Kujionyesha uwezo wao walionao kama kuonyesha yale wajuayo n.k
pia hubaguana sana hujikuta automatically wamechaguana wa rangi moja na hawawezi kudumu na yeyote mwenye Rangi Nyingine Labda majaliwa ya Mungu mfano unakuta msomi sana kaoa msomi what a shame!!...
The Yellow Aura individual tends to put their head above their heart when faced with difficult choices and decision making. They are unorthodox and unconventional thinkers and not afraid to experiment with different ideas and original concepts..
Pia Hupenda Kujibagua Na Interest ukimwambia unapenda wali yeye ugali ukimfuata ugali anahama..
Inshort Wanaringa Kama Rakims...
But I'm Not Yellow Aura NO AND NEVER..
Tatizo Lao Pia Hujishusha Au Kumshumsha Mtu Thamani Also They Can Be Overly Critical Of Themselves And Others....
Pink Auras:
Hawa Ni Wenye Mapenzi Ya Asilia Na Hupendwa Asilia Hata Mimi Huwapenda Japo Kwa Rangi Tu..
Wanapenda kupendwa pia wanapenda kujiweka karibu na ndugu jamaa na marafiki na familia at every opprtunity.. Wanapenda kutembelewa na kupenda kujichanganya
Wakuu Ukimpata Mwenye Rangi HII Kimapenzi Umeula Maana Ndio Kina Forever And for always na for better or worse waliosalia hapa duniani kwa maana ni wavumilivu, wanaheshima ya ndoa au mahusiano na waaminifu wakweli sifa zote za mapenzi wanazo
Hawa wanaponya haraka sana wengi wao huwa na nguvu ya uponyaji na wanakuwa nayo very powerful one ukiona nimekutana na wewe nimekusabahi basi jua una pink aura na huitikia kwa heshima na unyenyekevu...
I Love Pink Womans And I Like Pink Mans Cause They Have My Behaviour Some How.. Wanametch kwa kila aura colour umu sidhani kama yupo msiseme uongo...
wana mawazo ya ubunifu,wanajua kuandika mashairi wana imagination nzuri na huandika novel safi miziki n.k anything about love wao ni kazi yao...
Lakini Sasa... Hawapendi Injustice,uchafu,umasikini na conflicts.. hupenda kufanya ulimwengu kuwa sehemu salama na tulivu wakishindwa hufanya haya ndani ya familia zao..
Hawa Wengi Hujikuta Wafanyakazi Kama Mwanaume Utaskia Kaolewa Huyo Na Yule Mwanamke Kutokana Na Aura Zao....
Green Auras:
Hawa Ni Wabunifu wakubwa na hufanya kazi ngumu sana hawapendi vitu laini laini hufanya kwa nguvu zote lolote wafanyalo na huona halitoshi japo hutumia nguvu nyingi sana hupenda sana kutumia imaginati0n kwenye mambo yao katika kutafuta maendeleo ya maisha yao
hujishughulisha sana na mabustani kupika na kazi za anapoishi hawa huwa na macho mazuri na ya kipekee hupenda sana kupendeza kimavazi muda wote.......
Green auras hupenda kueshimika hawa asiposalimiwa huanza kung'aka hovyo utadhani lazima asalimie.. hawa hutengeneza mali haraka sana na kufanya mambo yaende upesi upesi na utajili kwao ni nje nje ila mpaka ajijue..
kwamba yeye ni green na sio mfyeka nyasi na mpalilia bustani wengi wao ni wakulima nadhani na wafugaji kidoogooo
ni watu wa biashara sana na wanamvuto kwenye biashara..
hupenda ulinzi akikosa mlinzi basi geti lenye makufuri mengi tu na mengine ya ziada juu,akikosa basi lazima afuge mbwa akikosa kwake hapakosi hata panga la kimasai ni watu wa ajabu sana kama logic au deo.. hahaha
ukitaka kuwa rafiki wa haawa we msifie tu na umshauri uwe kama unamshauri kwa kumnyenyekea atakufata kila siku.. ukimkaribia basi ujue kujieleza na ujue kuongea vizuri vinginevyo utaongea yeye anakuskilizia tu kama mweu...
Hupendelea sana kukaa ufukweni au popote penye natural view
Orange Auras:
Hawa Ni Very Social Unataka Wa kuongea nae chatting chat na orange auras wanapenda sana company ukiwanae kama ni jinsia tofauti usimtongoze atakupenda sana kumbuka no relationship na huyu kama sio rangi yake ila ukaribu mtakao kuwa nao umeshawahi sikia friend with benefit
hawa ni wale unaskia watu wanawaita best friend asikudanganye mtu mwenye rangi tofauti na orange kwamba ni best friend anakupotezea muda he or she is just a friend 1 day I'll Tell You My Story With My Best Friend Km hujui what i mean by best friends
hupenda kukupa zawadi hata kama haina thamani mradi tu katoa zawadi.. huwa na fikra pana sana na ujamaa..
wanamoyo mzuri kiukweli i had one in my life hajatokea tena na ni wawazi akikuudhi au ukimuudhi anakwambia so you want best friend tafuta mwenye Aura Hii..
Wana maumivu ya kweli na ukiwa nao karibu kama kaumia utajihisi maumivu pia hata kama hakiumi ila kimemuuma utaumia tu lakini kama ni aura mwingine hata aumie vipi unamwambia pole yataisha lakini huyu akiumia kama wewe ni gaidi na kaudhu vipi machozi yatakulenga tu you have to charge your aura due to enjoy these
she/he can feel what you feel... hutakiwi hata kumwambia anajua tu only if ukiweka kihisia zaidi Anajua What Hurt You..
Udhaifu Wao Hujikuta Ana lost temper kirahisi sana na kukukatia tamaa.. Theres Always Lovely Painful End Ukiwa Na Best Friend Huyu... yani unaumia Hadi Unaskia Raha Lakini Unaumia Sawa Na kulamba Sukari Na Chumvi Au Alovera Na Asali...
pia raha yao ni wepesi kusamehe na kusahau kasheshe linabaki kwako kukumbuka..
ukiwaomba tu msamaha hukusamehe hapo hapo halafu anakwambia nisamehe na mimi kukwambia ukweli Daaaah!!!
Orange Aura people are confident of the impression they make on others and can use this to their advantage. They tend to lead very successful and happy lives. On the down side Orange Aura people tend to be impatient and tend to rush into projects, relationships and experiences too quickly. They normally need to act immediately and consider the consequences later
Purple Aura:
Wenye Rangi Ya Zambarau Hawa Hutambulika Kama Watu Wakubwa Kwenye Pschic Powers Emotions Moods Za Wengine N.k Kwao Inamata Sana Wengi Wenye Rangi Hizi Huona Mengi Ya Maisterious Nafananisha Na Farida n Asaki I'm Not So Sure...
Baadhi Yao Hupossess Philosophical, enquiring and intuitive mind..
Wanapenda Kujifunza Bila Kuchoka Kile Wajifunzacho Na Na Hupenda Kujifunza Masomo MapyaNa Mambo Yanayowahusu Wao..
Kwa Sababu Hii Hupenda Kujiweka Sana Kama Watu Wajuzi.. Pia Hujifanya Wajanjuzi Mno Hata Kama Kitu Wanajua Watauliza Uliza tu Wakijue Zaidi..
Hawa Huwa Hawana sana Mlolongo Wa Marafiki Wengi Lakini Marafiki Wanaowaweka Karibu Yao Ni Wake Ambao Wanawatamani Na Wanawapenda.. Hawa Wanajulikana Pia Kwa jina La wakosaji Katika Mapenzi Lakini Pale Wapatapo perfect Match Yao Kama Pink Au Yenyewe Basi Hudumu Sana Kwenye Mapenzi Yao Na Hujenga Familia..
Pale Wanapowapata Soul Mates Wao..
Hawa Wanaelewana Sana Na Wanyama Na Mambo Ya Asili Hata Majini Pia.. Wanauwezo Wa kujua Yule Mnyama Anaumwa au Ananjaa..
Inshort Hawaelezeki Sana Hawa But Their Way Is Easy To Them But HArd TO You...
Blue Auras:
Hawa Ni Ma Masters Wa Kuwasiliana Ulimwenguni.. Wanauwezo Wa Kusafirisha Mawazo Yao,Fikra,mitazamo Na Charismatically..
ni Waandishi Wazuri,poets and politicians
Ni Wenye Uwezo Mkubwa Wa Kuelewa wana uwezo wa kubalance vichwa na nyoyo zao na kufanya machaguo magumu kuwa rahisi tu kwao
Ni Wapangiliaji Mikakati Wazuri Na Kusawazisha Wengine Vema Tu..
Ni Peacemakers Sana Hawa Jamaa Mimi Kama Wewe Siwezi Kuwachokoza Na Wanauwezo Wa Kukushusha Jazba Kirahisi tu na Kukutoa Nje Ya mahasira Yako Na Mastress
Wao Ni Wakarimu Kiasi Chao..
Hawa Huteswa Sana Na Mahusiano Maana Vizito Na Vibaya Hutake Easy..!!
Gold Auras:
Itaendeleaaaaaaaaaa.....!!!
Rakims