Hongera Umepiga Hatua Naweza Kusema Unatransvection power lakini hapana watakiwa uendelee mpaka usibitishe ni power au ni meditation na kuhusu vibration ile ya ganzi huwa ni kama pozo la spirit kwenye mwili sasa kuna ganzi aina kama tatu...
1:ganzi ya Power
2:ganzi ya Charger
3:ganzi ya awareness
Sasa hapo iliyokutokea wewe kwa maelezo yako ni ganzi ya awareness maana moja kati ya sheria za meditation ukitaka kuona usiangalie which means kwamba ukitaka vitu vikutokee kamili usichunguze kile kilichotokea au kukichambua awareness inakuwa haipo unakuwa kama unamwagia maua maji halafu mpira unaukunja kunja....
Kama ulikuwa unaangalia third eye hukutakiwa uweke awareness sehemu nyingine zaidi ya hapo so hata ikija ganzi kutoka pengine utaichambua ukitoka kwenye meditation....
LAKINI:
Hongera umejitahidi kupata effects adhwimu kabisa...wengine hawajawahi kupata hata hiyo jitahidi utafika stage nzuri tu wala hakuna tabu tupo pamoja....
#Rakims