Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na wewe upo kwa wanafunzi wangu? N nimepona ss...
NDIO TICHA NAJUA KWA UJUZI ULIONAO WAWEZA NIJUA JAPO JINA TOFAUTI...
Mkuu Rakims
Natanguliza samahani kwa kuuliza masuala mengi, mara ya mwisho nilikueza vipi nilifanya meditation kwa nia ya ku activate Third Eye na ukaniambia niendelee na nashkuru kwa kunipa maelekezo zaidi, pia mimi huwa si concentrate what happening during meditation ila huwa najua kwa maana mambo yote hutokea ndani ya mwili wangu so I have to feel it,
Mara ya pili nilifanya meditation hali ilikua ile ile ya ganzi miguuni na mikononi mpaka mkono hupinda kwenye viganja nikiwa kama niko kwenye hewa hivi, ila hali hiyo haikuwa tatizo kwangu ni ya kawaida tu kwani imeshatokea kabla ila nilikua katika Thrd Eye awareness pia nashkuru kwa hatua nilofikia na nilitaka kufikia mbali zaidi yaai hatua nyegine zaidi ila wakati naendelea ku meditate nikiwa kama niko kwenye hewani hivi mguu wa kushoto ukaanza Kubana masals nilistahamili ila nilishindwa nikaamua punic na kutoka kwenyemditation
Sasa naomba msaada wako kwa hayo chini yafuatayo:-
1- Nataka kufika hatua ya mbele zaidi nini nifanye ?
2 - Kwa maelezo yangu ya juzi na leo hii, je nafanya vitu sawa au nakosea katika meditation ?
3 - Kupata masals kwenye miguu au mguu ni sehemu ya meditation ?
4 - Nitarajie vitu gani zaid vinaweza kutokea katika meditation kwa zowefu wako ?
5 - Huwa kihwa kinauma baada meditation kwa sababu kichwa huwa buzy wakati wa meditation je hii ni hali ya kawaida ?
Natanguliza shukrani zangu mkuu Rakims
Today I practiced meditation,truly I felt somthng unusual in my body.I got scared and cancel it,but I 'll do it agan
Ulifuata utaratibu gani mkuu.
Karibu
Takuelezea Kwa kina nikikuweka whatsapp hapa siwezi kuandika sana be patient ila masals kubana ni vile ubongo unaingiza keenye mwili kitu kipya ikibana unakunja mguu halafu kitendo bila kuchelewa awareness inakuwepo haita kuvuluga maana engine kula tunachofanya tunaongoza meditation.... Kula kuoga,kuvaa,kuongea,kutembea n.k yani extra sensors zinakuwa zinatambua kwa hiyo Hui inasaidia sana kufanya tukio moja kwa usahihi had I liishe ndio wazo linakuja lingine.. Utaenjoy sana ukiimudu meditation japo wengine wanahisi faida ya meditation in powers na kufungua third eye wakati yqpo engine mengi sana kama cure ya magonjwa na kujaza imani thabit ya kile unachoamini, Kuwa kama unang'arisha nyota unapendwa na wengi pamoja na mapenzi ya dhati kwa wazazi wako ni mengi kwa kweli mengine utayakuta mageno utaenjoy sana hasara/athali za meditation ni kama faida moja kati ya hizo no kujiamini kwa kila jambo watu wanasema ni disadvantage lakini Mimi naona ni advantage pia..... Ni mengi sana yataka subira
#Rakims