Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Sasa mkuu Rakim samahan naomba kuuliza ulisema hiyo crown chakra ya utosini ni majini a mi ndio sijakuelewa vizuri na kama ni spirit hizo majin hii sini hatari majini tena si mchezo na ninavyoelewa mimi kila kitu kinafaida na hasara.

je hasara zake ni zipi kwa maana tusiangalie faida tu tuangalie na hasara zake kabla mtu hujaanza kumeditate shukrani sana mkuu
 
Mkuu haya tuambie wewe jinsi unavyofahamu wengine wapate kuelewa maana nimchanganyiko sasa unaotaka kuzaliwa hapa.

Inside Mankind Kuna Power Moja Mungu Ni Mmoja Aliwahi Kusema Pasco Hapo Mwanzo Alikuwako Mungu Na Shetani Pia Alikuwapo This Means Shetani Alijuumba Pia? Nonsense.... Kwamba After God Put Hos Powera
 
Mkuu haya tuambie wewe jinsi unavyofahamu wengine wapate kuelewa maana nimchanganyiko sasa unaotaka kuzaliwa hapa.

Inside Mankind Kuna Power Moja Mungu Ni Mmoja Aliwahi Kusema Pasco Hapo Mwanzo Alikuwako Mungu Na Shetani Pia Alikuwapo This Means Shetani Alijuumba Pia?

Nonsense.... Kwamba After God Put His Power And Davil Put It Too.. Nonsense... Alietupa Powers Ni Mmoja Ni Kazi Kwetu Kuchagua Tunazitumia Kushukuru Kwa Mungu Au Kukufuru Kwa Mungu....

Nb: no body is perfect so kama alikosea akasahihishe.......

#Rakims
 
Sasa mkuu Rakim samahan naomba kuuliza ulisema hiyo crown chakra ya utosini ni majini a mi ndio sijakuelewa vizuri na kama ni spirit hizo majin hii sini hatari majini tena si mchezo na ninavyoelewa mimi kila kitu kinafaida na hasara je hasara zake ni zipi kwa maana tusiangalie faida tu tuangalie na hasara zake kabla mtu hujaanza kumeditate shukrani sana mkuu

Spirits Chakra As Long As Unakuwa In Spirit Manner Hakuna Kinachoweza Kukudhuru Zaidi Ya Muumba... Athari Ni Moja Tu Kuzidisha Uwezo Mwilini... Ambayo Ni Faida Pia.

Ni Sawa Nikuulize Je Binaadamu Kuna Athari Gani Anazipata Akila Lishe Bora....

#Rakims
 
Mkuu nimekuwa nikipenda sana kufanya meditation lakini nilikuwa sijapata darasa, nashukuru leo nimepata darasa, vipi nafasi bado zipo za group?
 
Anza Nayo Leo Night Ukiingia Kulala Usingoje Umechoka Sana Lala Chali hakikisha huumii sehemu Yoyote Vuta Pumzika Kama Mara Kumi 15 Sio Mbaya Na Hakikisha Unauhisi Mwili Wako Kila Kona Tafuta headphones Ambazo Hazina Base Sana Wala Sterio Sana Hakikisha Hauna Baridi Wala Joto Mwili.

Hakikisha Hukereki Na Chochote Weka Distance Kama Mnalala Wawili Na Usimguse Mwenzio Wakati Una meditate... Hakikisha Vazi Lako Liwe Night Dress Au Lolote Lisilo kela Mwili Otherwise you will Find It Hard.

Baada Ya Hapo Fumba Macho Yako Taratiibu Na Ukifumba Ufumbe Kweli Usikapue Hata Mara Moja Ukikapua anza Moja Na Ukianza Moja Tayari Umepanic... Kwa Hiyo Ni Vema Uandae Utulivu Wa Hali Ya Juu Ili Beat Isiwe Interrupted Na Sauti Nyingine Yoyote.

Binafsi Napenda Kutumia Beats Maana Wengi Always Wana Find Hard Kustop Outer Chatter... Inner Kustop Ni Rahisi Kama Unaweza Kustop Outer Chatter... Baada Ya Kufumba Macho Yako Taratiibu Hakikisha Unavuta Pumzi Sahihi Pumzi Sahihi Namaanisha Vuta Pumzi Bila Kusita Na Toa Bila Kusita beat pia Itakisaidia Kuendesha Pumzi Yako Vema..

Kitu Kinachofuta Hapo ni UELEWA TUU.. UELEWA TUU.. UELEWA TUU.. Once you take it serious It Will Take You Serious Too.. Wakati Umefumba Macho Jitahidi Kufanya Kama Unaangalia Sehemu Katikati Ya Nyusi Mbili.

Ukihisi Macho Yanachoka Usifumbue Yaweke Sawa Kisha Angalia Tena Japo Sio Lazima" Fanya Hivyo uelewa tafadhali namaanisha utulivu pia.. Yani Ukihisi hali tofauti mwilini vibration au Mwanga au Kupaa au kutekenywa au kutoka nje ya mwili wewe tulia tu usifikirie kwa nini kimetokea muda ule wala usiweke hisia zako kukifuatilia wewe tulia tu na uelewe kila kinachokujia usivifiate Wacha Vikujie Vyenyewe iwe picha,iwe mtetemo au baridi wewe tulia usicheke wala usihof ni ubongo unajipanga me naita meditation Challenges.

Pindi Beat Itakapoisha utaskia Ukimya Mkubwa Sana... Sasa Tulia Vua Taratibu Earphones zako na fumbua macho taratibu sasa waweza kuinuka au kujigeuza au kufanya chochote... Unachotakiwa Kufanya Ni Kuleta Mrejesho Hapa Na Nitakwambia Umefikia Wapi... Mungu Hakuleta Mtu Duniani Kuteseka Bali Kumuabudu.. Isipokuwa sisi tunaenda against na kutesana wenyewe... Karibuni Kwa Maswali..

Naomba Anaejiweza Atuletee Yani Adownload Beat Ya Astral Projection Yenye Lisaa 1 Tuendelee Kufundishana... Tumia Beat Hiyo Ya Mshumaa Kupunguza Msongo Na Mengineyo.

Tafadhali Anaeweza Kunisaidia Acopy Then Akapast Kwenye Uzi Wangu Wa Mwanzo Wa Meditation.... Watu Wote Wapate Faida

#Rakims 
 
Anza Nayo Leo Night Ukiingia Kulala Usingoje Umechoka Sana Lala Chali hakikisha huumii sehemu Yoyote Vuta Pumzika Kama Mara Kumi 15 Sio Mbaya Na Hakikisha Unauhisi Mwili Wako Kila Kona Tafuta headphones Ambazo Hazina Base Sana Wala Sterio Sana Hakikisha Hauna Baridi Wala Joto Mwili.. Hakikisha Hukereki Na Chochote Weka Distance Kama Mnalala Wawili Na Usimguse Mwenzio Wakati Una meditate... Hakikisha Vazi Lako Liwe Night Dress Au Lolote Lisilo kela Mwili Otherwise you will Find It Hard... Baada Ya Hapo Fumba Macho Yako Taratiibu Na Ukifumba Ufumbe Kweli Usikapue Hata Mara Moja Ukikapua anza Moja Na Ukianza Moja Tayari Umepanic... Kwa Hiyo Ni Vema Uandae Utulivu Wa Hali Ya Juu Ili Beat Isiwe Interrupted Na Sauti Nyingine Yoyote... Binafsi Napenda Kutumia Beats Maana Wengi Always Wana Find Hard Kustop Outer Chatter... Inner Kustop Ni Rahisi Kama Unaweza Kustop Outer Chatter... Baada Ya Kufumba Macho Yako Taratiibu Hakikisha Unavuta Pumzi Sahihi Pumzi Sahihi Namaanisha Vuta Pumzi Bila Kusita Na Toa Bila Kusita beat pia Itakisaidia Kuendesha Pumzi Yako Vema... Kitu Kinachofuta Hapo ni UELEWA TUU.. UELEWA TUU.. UELEWA TUU.. Once you take it serious It Will Take You Serious Too.. Wakati Umefumba Macho Jitahidi Kufanya Kama Unaangalia Sehemu Katikati Ya Nyusi Mbili.. Ukihisi Macho Yanachoka Usifumbue Yaweke Sawa Kisha Angalia Tena Japo Sio Lazima" Fanya Hivyo uelewa tafadhali namaanisha utulivu pia.. Yani Ukihisi hali tofauti mwilini vibration au Mwanga au Kupaa au kutekenywa au kutoka nje ya mwili wewe tulia tu usifikirie kwa nini kimetokea muda ule wala usiweke hisia zako kukifuatilia wewe tulia tu na uelewe kila kinachokujia usivifiate Wacha Vikujie Vyenyewe iwe picha,iwe mtetemo au baridi wewe tulia usicheke wala usihof ni ubongo unajipanga me naita meditation Challenges... Pindi Beat Itakapoisha utaskia Ukimya Mkubwa Sana... Sasa Tulia Vua Taratibu Earphones zako na fumbua macho taratibu sasa waweza kuinuka au kujigeuza au kufanya chochote... Unachotakiwa Kufanya Ni Kuleta Mrejesho Hapa Na Nitakwambia Umefikia Wapi... Mungu Hakuleta Mtu Duniani Kuteseka Bali Kumuabudu.. Isipokuwa sisi tunaenda against na kutesana wenyewe... Karibuni Kwa Maswali...
Naomba Anaejiweza Atuletee Yani Adownload Beat Ya Astral Projection Yenye Lisaa 1 Tuendelee Kufundishana... Tumia Beat Hiyo Ya Mshumaa Kupunguza Msongo Na Mengineyo... Tafadhali Anaeweza Kunisaidia Acopy Then Akapast Kwenye Uzi Wangu Wa Mwanzo Wa Meditation.... Watu Wote Wapate Faida

#Rakims 

Thanks mkuu naanza rasmi leo

Meditatation ni kitu kipya kizuri mno. You get in touch with your most high
 
Sasa mkuu hapo nimekusoma ukila lishe bora mwili unajengeka unakuwa poa ila sasa sijaelewa tena hapo juu kuna jamaa kasema ukiwa unafanya meditation then unaangalia katikati ya nyusi pale panapokaa third eye sasa utaangalia uku umefumba macho au inabidi ufumbue kiaina lilejicho lakuibia halafu sasa naomba usinichoke mkuu eti ile power ya kupata vision ya jambo litakalotokea inaitwaje na utaiafanyaje kuiendeleza
 
Mkuu nimeanza rasmi jana kwa kuhesabu Kuanzia 100, nilifanya mara tatu Bila kuona chochote lakini ile ya nne nikajikuta kadri ninavyozid kuhesabu kuna nguvu inanivuta kushuka chini na nikawa napata utulivu sana.

Baada Ya kumaliza nikaanza kuangalia ile theard eye, mkuu nilikuta mwili wote unakakamaa alfu nikawa naona rangi ya zambarua alafu inabadilika kuwa ya blue bahari.

Badae nikaona miti mikubwamikubwa, milima, mabonde na nikasikia watu wanaongea ila sikuelewa wanaongea nini.

Mara nikaona kama kimlango kinafunguka na akatoka mwanamke akiwa na Mtoto mkononi alafu haikuendelea tena, nilikuwa na hofu sana.

Hii inamaanisha nini mkuu? Asante kwa kuniunga kwenye group
#Rakims
 
Halafu sasa mkuu Rakim mbona mimi nikimaliza kufanya tahajudi{meditation} kichwa kinauma aisee dawa yake hii ni nini au ndio niandae box la pain killer kabisa shukrani sana ticha
 
Sasa mkuu hapo nimekusoma ukila lishe bora mwili unajengeka unakuwa poa ila sasa sijaelewa tena hapo juu kuna jamaa kasema ukiwa unafanya meditation then unaangalia katikati ya nyusi pale panapokaa third eye sasa utaangalia uku umefumba macho au inabidi ufumbue kiaina lilejicho lakuibia halafu sasa naomba usinichoke mkuu eti ile power ya kupata vision ya jambo litakalotokea inaitwaje na utaiafanyaje kuiendeleza

Hiyo Power Inaitwa Precognition..
Huipati Mpaka Uwe Nayo.. Kila Mtu Anapower Zake... Angalia Third Eye Area Kwa Kufumba Macho Lenga Kwenye Kati Ya Nyusi Na Ufumbe Macho Yatakapo Kaa Ndio Hapo Hapo...

#Rakims
 
Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object.[1]

Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things.[2]

Automatic writing - Writing produced without conscious thought.[3]

Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.[4]

Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.[5]
Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form of channeling.

Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human senses.[2]

Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.[6]
Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.[7]

Dowsing - Ability to locate objects.[8]

Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.[9]

Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious devotion.[10]

Mediumship or channeling Communicating with spirits.[11]

Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards.[12]

Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.

Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a person or object.

Pyrokinesis - Manipulation of fire.
Remote viewing - Gathering of information at a distance.
Retrocognition - Perception of past events.

Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.

Transvection - Bodily levitation or flying.

Confessor - where by someone make a group of peoples under his/her command as wanted..

#Rakims
 
Aportation- ni nguvu ya kutowesha au kupoteza au kukirusha mbali kwa kutumia nguvu ya spirit iliopo ndani ya baadhi ya watu ambayo hutumiwa na watu kama wafanyaji mazingaombwe ya kweli ambayo hutumiwa pale mtu anapolazimishwa kuprove magic tricks in a true eyes.........

#Rakims
 
Astral/mental Projection- Ule Uwezo Au Power Inayomuwezesha Mtu Kutoka Na Kutengana Mawazo Au Ubongo Unamfanyia Kama Kutenganisha Mwili Na Roho.. Havitengani Ya Kifo 😀 Hapana Yani Unakuwa Umefanya Kispiritual Zaidi.

Ambapo Muhusika Anatoka Au Kuuvua Mwili Wake Na Kusavei Njema Ya Mwili Kusavei Kiroho Waweza Kupita Hata Katikati Ya Ukuta Na Kuona Yanayojiri Kwa Wenzio.. Ukiwa Na Transvection Power Waweza Kutoka Kwa Kupaa speed sana.

Ukiwa kawaida bila transvection power unatembea chini lakini ukitaka ni kama umeme speed yake. Ni Power Kubwa Sana Hii.. Maana Pindi Unaporudi Waweza Jiuliza Ni Mwili Wangu Au Mbona Na Nguvu Zaidi Ya Kawaida? 

#Rakims
 
Aura Reading- Ni Nguvu Ambayo Wanayo Watu Wote Ambayo Inampa Nafasi Mtumiaji Kumfahamu au Kujifahamu Mtu Binafsi Yupo Katika Hali Gani either kanuna au kachukia au ana mawazo au anaumwa n.k pia ni nguvu inayotumika kumlinda mwenye nayo kuficha mwili wake kama kudhulika na wadudu au majini wakati akilala usiku.. Ni kama kinga fulani hivi.

Ila Ni Nguvu tatuma picha uone mfano wa aura inavyokuwa.. Ni nguvu inayozunguka mwili mfano wa mvuke kwenye mtu,kitu,mdudu au hata mnyama...

#Rakims
 
Back
Top Bottom