hii kitu unaeza kufnya ukwa balaah anA tu mdogo mdg matokeo utayaon yn ht mtu kma apnga kukudhuru unaeza muon kitk ndot am mawazo kuanzia mavaz hd sura n ukashangaaa anakuj iv ivo , hili n som ref m nilijifunza humu kisha nkpt muhind mmja muuza sambusa bt mmmh ni shida ana mihela balaah y anakwambia wht we fnd is inner peac bs
Mkuu, mbona me nishajaribu kukaa sehem iliyotulia (hasa kitandani usiku) na kufumba macho lakini mbona sio kitu chochote? Napenda kujifunza hayo mambo lakini sijui wapi pakuanzia.Mbona nipo Hapa Mkuu Naskilizia Matokeo Ya Watu Niendeleze Muongozo....
"Rakims"
Mkuu, mbona me nishajaribu kukaa sehem iliyotulia (hasa kitandani usiku) na kufumba macho lakini mbona sio kitu chochote? Napenda kujifunza hayo mambo lakini sijui wapi pakuanzia.Mbona nipo Hapa Mkuu Naskilizia Matokeo Ya Watu Niendeleze Muongozo....
"Rakims"
vp kwamimi mvuta bange? Maana kila nikijaribu kufuta maelekezo hapo juu nashindwa, sababu sioni mabadiliko yoyote yakitokea (kama hayo asemayo mwalimu hapo) . Kinacho notatiza siwezi kuwa ktk hali ya bilakua na mawazo.The path society nimeshawahi kufanya pale but badae nikaingia mitini nilipoanza mitungi a.k.a alcohol
tatizo meditation inahitaji usafi wa mwili na akili ila ni kitu kizuri sana naipenda sana na nitarudi tena !!
Mkuu, mbona me nishajaribu kukaa sehem iliyotulia (hasa kitandani usiku) na kufumba macho lakini mbona sio kitu chochote? Napenda kujifunza hayo mambo lakini sijui wapi pakuanzia.
vp kwamimi mvuta bange? Maana kila nikijaribu kufuta maelekezo hapo juu nashindwa, sababu sioni mabadiliko yoyote yakitokea (kama hayo asemayo mwalimu hapo) . Kinacho notatiza siwezi kuwa ktk hali ya bilakua na mawazo. Muda mwingi kichwa changu kinakua kimejaa mawazo yanayo pishana, linatika hili linaingia lile.
Mkuu kama vp lianze jikoni (ombi binafs) Maana chatochi changu kinazingua, lakini mida hiyo nitakua nisharekebisha hilo tatizo.mkuu hata mbuyu huanza kama mchicha huwezi kulala mtoto uamke mtu mzima... kuna darasa leo linaanza moja whatsapp la huu uzi lakini nidhamu ya hali ya juu na uvumilivu vinahitajika sana.... nina wanafunzi 20 tu ambao nimewaamini ndio nataka niwafundishe COMPLETE SUBJECT
"Rakims"
Safi sana. Mimi Nilikuwa naona tu Watu wakifanya. Sasa Hata mimi nitafanya. Ila ya mkono hujaeleza inafanywaje.JINSI YA KUFANYA MEDITATION
Meditation:
Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena.
¡¤ Wengine wanaielezea tahajudi kwamba, ni sala za usiku wa manane.
FAIDA ZA MEDITATION
1. Husaidia kuratibu msukumo wa damu pamoja na usafirishwaji wa damu mwilini.
2. Husaidia pumzi pamoja na kurahisisha usagwaji wa chakula mwilini.
3. Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.
4. Husaidia kuleta furaha ya nafsi.
5. Husaidia kuimarisha nguvu yako ya machale pamoja na nguvu zako za ziada.
6. Husaidia kutibu matatizo mengi ya kisaikolojia kwani hubadili hali ya mfumo wa fahamu na mawazo (endapo itafanywa kila siku).
7.meditationpia inaweza kutumika kuomba kitu unachohitaji,kamavile kazi au mahitaji mbalimbali,
Hatua zinazotakiwa wakati unajiandaa
Kufanya meditation ni kamai fuatavyo:
1. Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele. Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote. Legeza mwili wako pamoja na misuli yote ya mwili wako kwa kadri utakavyoweza.
2. Sahau matatizo yako yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Sahau matatizo yako ya kazini au nyumbani. Jitahidi usifikirie chochote.
3. Ni muhimusanakujali hisia zako wakati unafanya tahajudI.
4. Pumua kwa kuingiza pumzi ya kutosha mapafuni, halafu toa pumzi yote na kufanya kifua kiwekamakitupu. Weka mawazo yako yote kwenye pumzi zako
.
Aina za :meditation
1.meditation ya pumzi.
Ni kongwe zaidi. Ilianzia china naIndia. Ni tahajudi nzuri au muhimu kwa wale wanaoanza kujifunza.
2.meditation ya mkono:
Hii inakuonyesha ni kwa jinsi gani mawazo yako yana nguvu zaidi kuliko mwili. Lakini pia inakuonyesha uhusiano uliopo kati ya mawazo yako na mwili wako.
.
3.Tahajudi ya namba:
Hapa, unatakiwa kuhesabu namba kinyumenyume huku ukiwa umefumba macho. Unaweza ukaanzia 100, 99, 98, 97, 96, ¡-mpaka 1, au unaweza kuanzia 200, 198, 196, 194, 192, ¡-mpaka 2. hakikisha wakati unahesabu namba hizi hukosei, na ikitokea ukakosea namba yoyote hata
kamaumekaribia kumaliza, itakulazimu kuanza upya. Tahajudi hii ni nzurisanakwa kurejesha kumbukumbu, ingawa pia ina faida nyingine.
Hizo ni baadhi ya tu ya aina za meditation.... By Rakims
Mkuu, mbona me nishajaribu kukaa sehem iliyotulia (hasa kitandani usiku) na kufumba macho lakini mbona sio kitu chochote? Napenda kujifunza hayo mambo lakini sijui wapi pakuanzia.
Ili kuweza kufanya meditation kuna aina fulani za vyakula unapaswa kutumia na vingine ukaacha kuvitumia? Maana nimewahi kusikia baadhi ya watu hawali nyama wala mayai kisa wanafanya meditation, hili limekaaje mkuu rakims
Mediation
1. Kwanza akili inafanya meditation kuondoa matatizo ya akili
2. Halafu mwili unafanya meditation kutanzua matatizo ya mwili,to direct the metabolism. Kama ,kwa mfano,unaumwa cancer,your body is mentally insane.
Baada ya hapo,kama unafikiria jambo lolote,think of it with your body,and with your mind.
Mediation ina hatu nne,
1. Kwanza akili yako inatanzua matatizo yako ya binafsi,kuhjusuina na watu,kuwa efficient katika kazi,kuwa proficient katika kazi.
2.Halafu mwili wako unapaswa kuwa in rapport with the manu of the nation. Manu ni mwangalizi wa Taifa. Every nation has a manu. Pia major cities of the world have each a manu. Manu ni incisible spiritual guide.
3. Your overself,ruhani wako,lazima utafakari sana na aklil yako kufikiria jinsi ruhani wako anavyoweza kuendelea kiroho. Yaani ruhani wako naye lazima atafakari zaidi na ziaidi jinsi atakavyokuongoza.
4. You are connected to your overself with a silver cord. Your overself is connected to a Higher Being through the golden cord. In this fourth meditation,you contact your overself through the silver cord,and contact that Higher Being through the golden chord.
Lakini strictly speaking meditation ni
1.Kusoma passage au kuisikiliza.
2.Kuelewa maana yake ,kuelewa kila kitu kilichosemwa
3. Kukagua,kuona kama kuna jambo lolote la maana limesemwa pale,and to focus your mind on it,yaani ile sehemu ambayo ndiyo important,kuitafakari kwa urefu zaidi.
Jana tulikuwa lunch Butiama na Frederick Sumaye na Butiku. Na Butiku alikuwa anaongea kuhusu Chief Makongoro,jinsi ambavyo Chief Makongoro alikuwa anasema,mtu asilale usiku na kuamka bila kufikiri. Na Butiku akatoa ushauri kuhusu kufikiri usiku,akasema,mawazo yakikujia usiku,yaandike,ama sivyo utayasahau.
Mimi sikutoa comment yoyote Butiku aliposema hivyo. Lakini this is true,wakati mwingine pale unapoamka,when you are half asleep,unasikia whispers,ambazo sometimes ni useful information.
The path society nimeshawahi kufanya pale but badae nikaingia mitini nilipoanza mitungi a.k.a alcohol
tatizo meditation inahitaji usafi wa mwili na akili ila ni kitu kizuri sana naipenda sana na nitarudi tena !!
Ahsante Sana Umenikumbusha Kitu Kimoja Kuna Sauti Zile Huwa Mtu Anakuwa Anazisikia Wakati Anapoanza Kubebwa Na Usingizi Au Kutoka Kwa Uzingizi..
kwa wanaofanya meditation hapa watakwambia mimi nikitaka kulala huwa naskia mtu mwenye sauti mbili moja kama yangu zimeungana anaongea baada ya hapo nakua sielewi ila nikiwa hapo najua anachosema?
lakini pia kuna watu wasiofanya meditation wao wanasema mimi huskia tu mtu ananiita ana sauti kama yangu au muda mwingine anakuwa kama ananishitua..
Ule Ni Kama Ukumbusho wa Ubongo Kwamba Unatakiwa Uwezo Kuongoza Mawazo Ili Yasikupite Kwa Wanaojifunza Lucid Dream Hapa Wameelewa Nini Naongelea....
"Rakims"