Mwanzo wa meditation

Naomba difference ya maandiko mkuu.
 
Soma Biblia utaona humo kila kitu, usisubiri kutafuniwa kila kitu.
Nawe nipe jina la kitabu kinacheeleza hivyo unavyoaamini nami nikisome nipate hayo maarifa.
Sina ninacho kiamini hapo ndio maana nimekuomba japo unipereference sasa naona unakwepa,nisome wapi sasa?biBiblia ni kubwa
 
Kama hadi umri wako huo ulionao huna unachokiamini basi haina haja ya kukupa rejeo lolote
Kwani huamini chochote, hata ukipewa nukuu ya maarifa yoyote toka popote wewe huta amini.
Mtu asiyeamini kitu chochote, nayeye pia haaminiki.
 
Sina ninacho kiamini hapo ndio maana nimekuomba japo unipereference sasa naona unakwepa,nisome wapi sasa?biBiblia ni kubwa
Utaamini nini sasa, nawewe huna unachokiamini ?
Hiyo reference ya kukuaminisha usiyeamini chochote inapatikana wapi ?
 
 
Pale Utakapoweza Kufikia Kuona Matukio Yaliopita Na Paji La Uso Kuleta Mitetemo au mwanga wa nuru ama kidudu kutembea hiyo hatua ya kwanza
Pole na majukumu Mr, mimi nilishafika hapo kitambo ila nikajikurupua baada ya kusikia watu wanatembea chumbani kwangu ilihali nilikuwa pekeangu na nilikuwa nimefunga mlango na dirisha.
Hapo nini maana yake kaka.
nakumbuka nilisikia furaha kuu na nikaona mwanga mzuri uliotokea kwenye paji langu la uso na kupanda juu kanakwamba hauna mwisho.
Yote hayo yalitokea nikiwa nimelala chali huku nimefumba macho na kufata maelekezo ya ule uzi wako wa (JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI/ASTRAL PROJECTION)
 
Hiyo hutokea pale MTU sense zake zinapoanza kuingia astral planet uoga wa bure mkuu,

Rakims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…