Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba difference ya maandiko mkuu.Meditation ya kutafari Neno la Mungu lililoko kwenye Biblia ya Kikristo sio dhambi.
Ila hiyo meditation nyingine ni DHAMBI KUBWA.
Inahusisha utawala wa GIZA moja kwa moja.
Inamshirikisha Shetani katika kuifanikisha, na mtu unaondoka Kiroho kutembelea himaya yake, wakati wa kumeditate, wengi wanafia huko huko wakati wana Meditate.
Siri hiyo hamwezi kuambiwa kwani ni mpango maalum wa hila wa Shetani.
Mimi nakusaidieni tu, msijaribu mazoezi msiyoyajua undani wake.
Mungu aliyekuumba hajawahi kukuambia ufanye hivyo alijua hasara yake kwako.
Mambo yote mazuri ya kufanya, Mungu ame ruhusu kuyafanya.
Sorry referrenceNaomba difference ya maandiko mkuu.
Soma Biblia utaona humo kila kitu, usisubiri kutafuniwa kila kitu.Sorry referrence
Sina ninacho kiamini hapo ndio maana nimekuomba japo unipereference sasa naona unakwepa,nisome wapi sasa?biBiblia ni kubwaSoma Biblia utaona humo kila kitu, usisubiri kutafuniwa kila kitu.
Nawe nipe jina la kitabu kinacheeleza hivyo unavyoaamini nami nikisome nipate hayo maarifa.
Utaamini nini sasa, nawewe huna unachokiamini ?Sina ninacho kiamini hapo ndio maana nimekuomba japo unipereference sasa naona unakwepa,nisome wapi sasa?biBiblia ni kubwa
How? Tujuze tafadhaliMmoja wenu atakuja apotelee humo..mi nawashauri mtumie rucids dream ni afadhali kuliko iyo iyo imepoteza watu kibao.
Meditation ya kutafari Neno la Mungu lililoko kwenye Biblia ya Kikristo sio dhambi.
Ila hiyo meditation nyingine ni DHAMBI KUBWA.
Inahusisha utawala wa GIZA moja kwa moja.
Inamshirikisha Shetani katika kuifanikisha, na mtu unaondoka Kiroho kutembelea himaya yake, wakati wa kumeditate, wengi wanafia huko huko wakati wana Meditate.
Siri hiyo hamwezi kuambiwa kwani ni mpango maalum wa hila wa Shetani.
Mimi nakusaidieni tu, msijaribu mazoezi msiyoyajua undani wake.
Mungu aliyekuumba hajawahi kukuambia ufanye hivyo alijua hasara yake kwako.
Mambo yote mazuri ya kufanya, Mungu ame ruhusu kuyafanya.
Asante.pole sana Che mittoga pole tena sana sana sana
Asante.
Mi nimejitoa kuchangia huu uzi.
Nakuachieni wenyewe wataalamu wa haya mambo.
Sawa Mkuu,Hakuna mtoto mdogo hapa usipende kudanganya. Wataalam watajazia zaidi
Pole na majukumu Mr, mimi nilishafika hapo kitambo ila nikajikurupua baada ya kusikia watu wanatembea chumbani kwangu ilihali nilikuwa pekeangu na nilikuwa nimefunga mlango na dirisha.Pale Utakapoweza Kufikia Kuona Matukio Yaliopita Na Paji La Uso Kuleta Mitetemo au mwanga wa nuru ama kidudu kutembea hiyo hatua ya kwanza
mkuu nami natamani niweze nashindwaNimeweza mkuu"
Hiyo hutokea pale MTU sense zake zinapoanza kuingia astral planet uoga wa bure mkuu,Pole na majukumu Mr, mimi nilishafika hapo kitambo ila nikajikurupua baada ya kusikia watu wanatembea chumbani kwangu ilihali nilikuwa pekeangu na nilikuwa nimefunga mlango na dirisha.
Hapo nini maana yake kaka.
nakumbuka nilisikia furaha kuu na nikaona mwanga mzuri uliotokea kwenye paji langu la uso na kupanda juu kanakwamba hauna mwisho.
Yote hayo yalitokea nikiwa nimelala chali huku nimefumba macho na kufata maelekezo ya ule uzi wako wa (JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI/ASTRAL PROJECTION)