Mwanzo wa meditation

Hiyo hutokea pale MTU sense zake zinapoanza kuingia astral planet uoga wa bure mkuu,

Rakims
kuna hatari gan ya kufanya meditation bila ya mwalimu I mean peke yako na ni kwamara ya kwanza
 
kuna hatari gan ya kufanya meditation bila ya mwalimu I mean peke yako na ni kwamara ya kwanza
athari ni kutoka nje ya awareness japo haidhuru ila itakuachia question mark pale kitakapo tokea kitu Ambacho hujakisoma wala kukijua
 
Wakuu naomba nijuze hili... Kama ukiwa katuka hali hiyo akili ubongo unakua upo katika hali gani? Na utashi je? Ndio vyote vitakua vimetulia? Maana nitakua sifukirii chochote wakati huo. Inamaana nitakua unconscious? Sitapotelea huko huko? Ule ufahamu wakurudi kawaida utakujaje?
 
Hapana huwezi kupotea kwenye akili yako mwenyewe mkuu
 
hivi haya mambo yapo kweli ama..? naona kama uhayawani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…