Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Darasa Linaendelea Tuliishia Phase 3....


Phase 4:
Weka Mkono Wako Mbele Yako Au Pembeni Yako. Upendavyo..
Baki Umefumba Macho.. Endelea Kupumua Na Throat Friction, Endelea Kuelewa Eneo Lako La Jicho La Tatu, Ukiwa Umefumba Macho Liangalie Eneo Lako La Jicho La Tatu Yani Pandisha Macho Kidogo Alafu Ufanye Kama Kuyakutanisha Katikati Ya Nyusi Zako Na Uisikilize Vibration Hiyo...

It Can Take Different Forms: either a clear vibration or a tingling, or even a rather blurry Pressure, a weight Or A density Betwee The Eyebrows..

Usijalibu Kwa Ugumu, Remain Vacant Na Acha Vitu Vikutokee Vyenyewe.. Note That Your Eyes Remain Closed During All Phases Of This Practice...

Phase 5:
Mara Baada Ya Wafa moyo Kuhisi Vibrate Au Kuwakwa, na Msukumo Wa Mpapatiko watakiwa Kufanya Yafuatayo:
Anza Kuunganisha Vibration Ya Throat Chakra Na Third Eye Area Kwa Pamoja,
Kuunganisha nikimaanisha Kupaelewa Pote kwa Pamoja.. Ukiendelea kufanya hivyo vibration zile zitaanza kuwa clear mfano wa mtu anaebeba vyuma Hufikia Sehem Huweza Kutikisa nyama Za Kifua Bila Kugeuka Wala Kutikisika Ndicho Tunachokiwinda Katika Friction Hizo Hii Husaidia Baadae Unaweza Ku Meditate Bila Kuhitaji Vibration Ya Throat Chakra...
Kama Vibration Itaenda Sehemu Zingine Zisizokuwa Nilizotaja Mfano Kichwa Kizima,Mikononi Au Mwili Wote, Do Not Pay Attention To It, Just Remain Aware Of The Vibration or Pressure Between The Eyebrows
Endelea Na Phase hii Ya Tano Kwa Dakika 10,
Remember:
No Imagination, No Visualisation. just flow with what comes....

Phase 6:
Acha Kusugua throat Chakra..
Do Not Focus On The Vibration Anymore.
Endelea Kufumba Macho Endelea Kulielewa Eneo La Kati Ya Nyusi Kwa Dakika Kumi Zingine Au Zaidi..
Be Extremely Still. Hisi Nguvu Inayokuzunguka.. Vile Utakavyozidi Kuwa Motionless the more u can tune it...
Angalia Kama Kuna Feeling Ya Mwanga au Rangi Inaonekana Eneo Lako La Third Eye..

Tips, tricks & traps
Do not concertrate or grasp the area between eyebrows. We angalia tu kiupole eneo hilo grasping would only block the process.. Do not try hard to do lets things happen..
Usipepese macho pembeni angalia eneo hilo la kati ya nyusi, ukipepesa macho hutaona vema,
Kitu kinachotokea kwa wengi mara yao ya kwanza huanza kuona kila eneo huvibrate hasa kichwa kizima au uso wote usipapatike wewe tulia tu mpaka uunganishe vibrate ya koo na kati ya nyusi, with practise,everything Will Fall Into Place..
Kama Unapractice na marafiki hakikisha hamgusani, maana Unaweza Kujicharge Kupitia Mwenzio Utofauti Ukizidi Fumbua Macho Kila kitu Kinarudi Kawaida....

First Opening, Synopsis of The Practice....!

Lala Chini Utulie
1: Throat friction awareness in the larynx

2: Throat Friction awareness the area between the eyebrows

3: same as 2) palm of the hand in front of the third eye

4: throat friction looking for vibration, tingling,pressure,density.... Between the eyebrows

5: connection the throat friction with the vibration between the eyebrows

6: motionlessness - connecting with the energy around you....


3.3 Various Experiences..!

To be Continue...

#Rakims
 
Una Power Nyingine Ni Physichoscopy Hii Ukiizidisha Sana Unaweza Kuwa Fortune Teller(mpiga Ramli) Achana Nayo Sio Nzuri Maana Ukishaifungua Ukimshika Mtu Katikati Ya Kiganja Cha Mkono Wa Kulia Ukakipindisha Unapata Background Ya Yule Mtu..

Naomba Nieleweke Ukiweza Kuona Background Yake Hiyo Sio Ramli Ila Ukiforce Power Zako Zikakuonyesha Matukio Yake Yaliyopita Pia Sio Ramli.. Ukigusa Mbele Kidogo Ya Katikati Ya Kiganja Chake Basi Hapo Unaangalia Matukio Yake Yajayo Ambayo Ni Ramli Na Dini Zote Zimekataa.. Unaweza Kuwa Mpiga Ramli Wa Psychic Power In Light Side Kwa Kusoma Past Ya Mtu.. Lakini Unaweza Kuwa Mpiga Ramli Wa Psychic Powers In Dark Side Kwa Kusoma Future Ya Mtu.. The Choice Is Yours... Lakini Mimi Kama Mwalimu Wako Sikukadhanii Kuifungua Hii I Uncharge Ikitaka Kuanza Kujicharge.. Charge Zingine Ambazo Ni Nzuri Tu..

#Rakims
Sasa mkuu, mi nitajuaje kama nguvu hii ni nzuri au mbaya maana nikimeditate nahisi vibrations kichwani, kifuani na tumboni. For sure I can't differentiate the powers maana bado sijaona zikifunction zaidi ya kutoa tu.

How will I know that they have started working in me?

Shukrani sana na nimeku pm number yangu mkuu.
 
Sasa mkuu, mi nitajuaje kama nguvu hii ni nzuri au mbaya maana nikimeditate nahisi vibrations kichwani, kifuani na tumboni. For sure I can't differentiate the powers maana bado sijaona zikifunction zaidi ya kutoa tu.
How will I know that they have started working in me?
Shukrani sana na nimeku pm number yangu mkuu.

namba sijaiona.. Kadri unavyozidi kufanya zoez ndvyo unavyocharge

#rakims
 
Hivi mkuu utumiaji wa pombe Mara kwa Mara haiathiri meditation? Can I meditate when am drunk ila najielewa?
 
Rakim,mimi toka mdogo nnakuwaga na hisia flani hivi. Kwa mfano kuna kipindi nlikuwa nahisi kama nkiliangalia embe(tunda) juu ya mti kwa mda linaweza lianguke. Mda huo nawaza hvo nikwavile nahisi kama kuna nguvu inaweza insaidie bila kuijua.

Mpaka sasa hizo hisia bado nnazo. Napia nkimkumbuka mtu ambae sjawasiliana nae mda mrefu mara ghafla anapiga mda huo huo,au nkimpigia mimi atanambia ndo nlikuwa nakuongelea sasa hivi. Hii inakuwaje?
 
Rakim,mimi toka mdogo nnakuwaga na hisia flani hivi. Kwa mfano kuna kipindi nlikuwa nahisi kama nkiliangalia embe(tunda) juu ya mti kwa mda linaweza lianguke. Mda huo nawaza hvo nikwavile nahisi kama kuna nguvu inaweza insaidie bila kuijua. Mpaka sasa hizo hisia bado nnazo. Napia nkimkumbuka mtu ambae sjawasiliana nae mda mrefu mara ghafla anapiga mda huo huo,au nkimpigia mimi atanambia ndo nlikuwa nakuongelea sasa hivi. Hii inakuwaje?

una Power.. 1: ya kusense mtu
2: yakunyanyasa Kitu Kwa Nguvu ya Fikra...

#Rakims
 
Sawasawa leo ni siku ya nne nafanya ya number, ila sijahisi chochote, siku ya kwanza nilifanya mchana na mara mbili usiku, nahisi kuna kitu ntakua nakosea! Rakim

Rudia Maelekezo Ufanye Upya.. Hiyo Hali Itabadilika..

#Rakims
 
Last edited by a moderator:
Meditation Huwa Hairusu Hivyo.. Pombe Hulegeza Koklea Ambayo Huupa Mwili Balance Koklea Ikilewa Na Wewe Unameditate Mkuu Hapo Unatafuta Ya Kutafuta...

#Rakims
I must stop drinking for the best results. Thanks mkuu
 
Mwl rakims
Nimeanza jana mazoezi, nimeanza na throat chakra lkn kile kimtetemo sikukipata, nimefanya kwa dkk 15 hivi nikiwa ktk meditation pose. Sina uhakika kama niko sawa kwenye ukoromaji, inatakiwa kukoroma ile ya kroooooo kroooo au ya aje?

Ingepatika voice clip ingekuwa safi sana..
 
Kwanza, ahsante kwa elimu hii, pili kwa jitihada zako japo unapitia changamoto za kuvunjwa moyo na baadhi ya watoa maoni.

Nilifanya ya namba, baada ya kumaliza namba ya mwisho kutoka 100, niliangalia upande wa paji la uso katikati ya nyusi. Jicho likawa kama limefunguka nikaona anga ila la dark blue its like ni usiku lakini hakuna nyota ila kuna mwanga kwa mbaali unaoonesha hiyo dark blue.

Hali hiyo ilijitokeza baada ya kuhisi kama nipo ndani ya shimo sasa naliangalia anga i mean juu. Si unajua kama upo ndani ya shimo la futi 10 ukiangalia juu angani unaonaje? sasa mimi nimeona anga lililo na dark blue colour...kama vile usiku.

Swali:

Hiyo maana yake ni nini? Je kuna matokeo mazuri nikizidi kuendelea?

#Mtayarishaji
 
Mwl rakims
Nimeanza jana mazoezi, nimeanza na throat chakra lkn kile kimtetemo sikukipata, nimefanya kwa dkk 15 hivi nikiwa ktk meditation pose. Sina uhakika kama niko sawa kwenye ukoromaji, inatakiwa kukoroma ile ya kroooooo kroooo au ya aje???? Ingepatika voice clip ingekuwa safi sana..

Usijali Taituma Kwenye Voice Clips Whatsapp Ila Umekosea Unatakiwa Uwe Umelala Remember Who You Are.. You Are The Begginer, You Have To Start Slow... Throat Chakra, Recommended You To Start By Sleeping...

#Rakims
 
Kwanza, ahsante kwa elimu hii, pili kwa jitihada zako japo unapitia changamoto za kuvunjwa moyo na baadhi ya watoa maoni.

Nilifanya ya namba, baada ya kumaliza namba ya mwisho kutoka 100, niliangalia upande wa paji la uso katikati ya nyusi. Jicho likawa kama limefunguka nikaona anga ila la dark blue its like ni usiku lakini hakuna nyota ila kuna mwanga kwa mbaali unaoonesha hiyo dark blue.

Hali hiyo ilijitokeza baada ya kuhisi kama nipo ndani ya shimo sasa naliangalia anga i mean juu. Si unajua kama upo ndani ya shimo la futi 10 ukiangalia juu angani unaonaje? sasa mimi nimeona anga lililo na dark blue colour...kama vile usiku.

Swali:

Hiyo maana yake ni nini? Je kuna matokeo mazuri nikizidi kuendelea?

#Mtayarishaji

pongezi Zangu Kwako Sawa Na Ulikuwa Unajifikiria Jinsi Ya Kumtongoza Wa Kike, Amekupa Namba Yake Mwenyewe... Ila Umekosea Kitu Kidogo Tu.

Unapoanza Kucount 100, Macho Yako Yanatakiwa Yawe Kwenye Hiyo Angle.. Kadri Unavyozidi Kuvuta Pumzi Lile Anga Ungeanza Kuliona Kwenye 78, Lingeanza Kutoa Mwanga Mzuri Kwenye 62, Maluweluwe Yangekuja Kwenye 42, Picha Za Nyuma Ya kama Maji Zingetokea Kwenye 22 na Video Zingecheza Kwenye 3,2 au 1 Sijui Tupo Pamoja Mkuu?

The Key Is Repeatability.. Usikate Tamaa..

#Rakims
 
Shukrani kwa pongezi, shukrani pia kwa ufafanuzi.. nitaendelea kwa kufuata ulivyoelekeza.

Umeniacha njia panda uliposema kuwa, hapa ninanukuu: Ulikuwa Unajifikiria Jinsi Ya Kumtongoza Wa Kike, Amekupa Namba Yake Mwenyewe. Mwisho wa kunukuu.

Ufafanuzi walau mkuu.

#Mtayarishaji
 
Back
Top Bottom