Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Sijafanya chochote kule labda uliconfuse tu. Jaribu kupitia message zangu kule uone kama kuna kosa nimefanya then unihukumu kwa haki.

ni pm namba nikurejeshe lakin somo limesogea kidogo

#rakims
 
Niliweza kukumbuka toka nachukua begi nyumban mpaka nafika moro mjin nakata tikiti ya bas la Tanga napanda nafika mheza nashuka nachukua bodaboda
kilicho nistua nikwamba niliyaona ma2kio yote kama natazama sinema
Je nini hichi
na nitawezaje ongeza

mkuu unapower ya kuona past events.... ni nzuri sana unaweza kuanza kuona events na historia ya vitu kwa kuvigusa na watu pia if only utaicharge

#RAKIMS
 
picha hiyo imeonesha spirit yani roho imetoka na kupenya popote pale yani kama mtu kameditate out of body experience huweza kutembea au kupaa hapo inategemea je wewe ni out experince yupi kuna watu tofauti wanaexprience out of body tofaut tofaut yupo anaetembea spirit yupo anaepaa spirit na yupo anaepotea spirit inamaana haya huweza kufanyika mtu anapoingia spirit state.

mfano hii pichani imemuonyesha transvection akifanya out of body experience... inamaana the person flew out of body and path through object.... waweza kuingia popote by astral projection....

#Rakims
 
picha ya kivuli kwanza aliepiga kaimagine kwa powerful aura reader anavyoweza kumuona mtu aliefungua chakra zote kwa mara moja.... hiyo maranyingi hufanywa wat
 
hufanywa na watu baadhi ambao hufungua chakra zote..... kwa mara 1 Rangi ya njano iliomzunguka huitwa aura.. kinachoongaa utosini ni crown chakra. usoni ni third eye chakra... shingoni ni throat chakra, kifuani ni heart chakra, chini ya kifua ni soral plexus, na nyekendu ni root chakra... orange ni chakra ya wengu yan splenic chakra.

hiyo kama miale imemzunguka inaitwa body charge ambayo ikiingia mwilini hucharge au kurutubisha chakra zote na mtu kuanza kuact abnormal..... mshana karibu kwa niongeza....

#rakims
 
na wale wanaoumwa vichwa waweza kujitibu hivi kaa au lala chali... fumba macho angalia na uhisi eneo linalouma imagine rangi nyekundu.. imagine imegeuka orange.. imagine imegeuka njano.. imagine imegeuka kijani imagine blue bahari.. imagine zambarau... imagine nyeupe ichague ipoze kichwa utahisi kichwa cha baridi fumbua macho taratibu. utajiuliza nilikuwa naumwa kichwa kweli?

#Rakims
 
Rakims nashukuru kwa kuniridisha kwenye group.
 
hufanywa na watu baadhi ambao hufungua chakra zote..... kwa mara 1 Rangi ya njano iliomzunguka huitwa aura.. kinachoongaa utosini ni crown chakra. usoni ni third eye chakra... shingoni ni throat chakra.. kifuani ni heart chakra.. chini ya kifua ni soral plexus... na nyekendu ni root chakra... orange ni chakra ya wengu yan splenic chakra..... hiyo kama miale imemzunguka inaitwa body charge ambayo ikiingia mwilini hucharge au kurutubisha chakra zote na mtu kuanza kuact abnormal..... mshana karibu kwa niongeza....

#rakims

Iko vizuri sana na iko kwa undani mno labda hiyohiyo niiweke kwa upande wa 8senses za mwanadamu/ chakra 1-8 ambapo wengi watu tunazifahamu 5 tuu> macho, ulimi, ngozi , masikio na ufahamu! Hizi tatu za mwisho hazijulikani na wengi sense ya sita saba na name

Katika mzunguko wote wa meditation connection kubwa na vital iko kwenye conscious na subconscious mind, interaction ya visible world na invisible world

Ngoja nitaeleza vizuri kuhusu sense ya sita mpaka ya nane kama nilivyoeleza kwenye uzi wa Pasco
 
Last edited by a moderator:
na wale wanaoumwa vichwa waweza kujitibu hivi kaa au lala chali... fumba macho angalia na uhisi eneo linalouma imagine rangi nyekundu.. imagine imegeuka orange.. imagine imegeuka njano.. imagine imegeuka kijani imagine blue bahari.. imagine zambarau... imagine nyeupe ichague ipoze kichwa utahisi kichwa cha baridi fumbua macho taratibu. utajiuliza nilikuwa naumwa kichwa kweli?

#Rakims

Nichange rangi kila baada ya muda gani????
 
na wale wanaoumwa vichwa waweza kujitibu hivi kaa au lala chali... fumba macho angalia na uhisi eneo linalouma imagine rangi nyekundu.. imagine imegeuka orange.. imagine imegeuka njano.. imagine imegeuka kijani imagine blue bahari.. imagine zambarau... imagine nyeupe ichague ipoze kichwa utahisi kichwa cha baridi fumbua macho taratibu. utajiuliza nilikuwa naumwa kichwa kweli?

#Rakims

Hzo rangi lazima uzipange kama ulivyozitaja au unaweza zipanga kadri utavyojisikia kuimagine?
 
Iko vizuri sana na iko kwa undani mno labda hiyohiyo niiweke kwa upande wa 8senses za mwanadamu/ chakra 1-8 ambapo wengi watu tunazifahamu 5 tuu> macho, ulimi, ngozi , masikio na ufahamu! Hizi tatu za mwisho hazijulikani na wengi sense ya sita saba na name
Katika mzunguko wote wa meditation connection kubwa na vital iko kwenye conscious na subconscious mind, interaction ya visible world na invisible world
Ngoja nitaeleza vizuri kuhusu sense ya sita mpaka ya nane kama nilivyoeleza kwenye uzi wa Pasco

Karibu Mkuu...

#Rakims
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom