Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Rakims mimi kuna ndoto mbili zimewahi nabado huwa saanyingine zunarudi..
Moja ni kupaa angani yani napaa kabisa halafu naona rahisi kweli yani
Mbili ni kusoma yani hii huwa nikiamka najiuliza maswali mengi sana.

Yani nimara kwamara nipo nasoma darasani namarafiki zangu wa karibu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu rakims habar za muda,leo nimeota kuna sehem nlienda lkn siijui wakat narud kukatokea gharika kubw sana ya maji ya bahar yale maji yalikuw ya usawa wa ghorofa moja wkt yana kuja nlikuw na mwenzngu tukawa tunakimbia kw kujiokoa ila yalipo nikaribia yale maji yakapungua ghafla na kupotea,naomb kujua mkuu hii ni maanake nini.
 
Hatimaye nimerudi jamani, ni katika harakati za kupambana na waliokuwa wanachafua uzi huu, nashkuru niliokuwa napambana nao niliwazibiti.
 
Kwa kuongezea,sio kila wakati unaweza kumeditate,meditation inaweza kufanyika na kuleta manufaa linapofanyika wakati mtu amerelax pasipo tension kiakili,nyakati nzuri kwa meditation ni saa tisa usiku mpaka saa kumi na moja kamili asubuhi.

Nawasilisha
 
mkuu Kuna Meditation Group Huku WhatsApp You Wanna Be One Of Us?

#Rakims




Naona darasa sasa limehamishwa rasmi kutoka humu kwenda Whatsapp ...!!! Inasikitisha sana, coz nadhani haikuzingatiwa kuwa kuna wengine mpaka leo kutokana na hali zetu kiuchumi bado tunatumia Nokia tochi, na kuingia Jamii Forum ni mpaka twende Internet Cafe.

Kwa kweli nimemkumbuka sana Pasco ambaye ndiye mwalimu mwanzilishi wa hili darasa humu JF, ambaye ingawa yupo busy sana, lakini hakuwagawa wanafunzi kutokana na hali zao kiuchumi.

Anyway, darasa now ni kwa ajili ya watumiaji wa ma-android na ma-window phone tu. Wengine tukatafute buyu tukune ...!!!!:A S-confused1:
 
Aina za :meditation
1.meditation ya pumzi.
Ni kongwe zaidi. Ilianzia china naIndia. Ni tahajudi nzuri au muhimu kwa wale wanaoanza kujifunza.
2.meditation ya mkono:
Hii inakuonyesha ni kwa jinsi gani mawazo yako yana nguvu zaidi kuliko mwili. Lakini pia inakuonyesha uhusiano uliopo kati ya mawazo yako na mwili wako.
.
3.Tahajudi ya namba:
Hapa, unatakiwa kuhesabu namba kinyumenyume huku ukiwa umefumba macho. Unaweza ukaanzia 100, 99, 98, 97, 96, ¡-mpaka 1, au unaweza kuanzia 200, 198, 196, 194, 192, ¡-mpaka 2. hakikisha wakati unahesabu namba hizi hukosei, na ikitokea ukakosea namba yoyote hata
kamaumekaribia kumaliza, itakulazimu kuanza upya. Tahajudi hii ni nzurisanakwa kurejesha kumbukumbu, ngawa pia ina faida nyingine.

Hizo ni baadhi ya tu ya aina za meditation.... By Rakims

mkuu rakims ni faida gan iyo nyingine kwenye tahajud hii!!!.

ahsante[/QUOTE]

Thanks kwa uelewa zaidi kuhusu meditation
 
#rakim nimewahi kuota napigana na mtu kwa kutumia silaha aina ya panga na nikamshinda, ya2 pia niwahi kuota napigwa na mtu kwa kunichoma na peni lakini mwisho wa siku akakamatwa na kupelekwa mahakamani na mimi nikashinda kesi, ya 3 mara nyingne huwa naota nyoka anataka kunidhuru lakini anashndwa

mkuu rakim mbona haukunijibu
 
Naona darasa sasa limehamishwa rasmi kutoka humu kwenda Whatsapp ...!!! Inasikitisha sana, coz nadhani haikuzingatiwa kuwa kuna wengine mpaka leo kutokana na hali zetu kiuchumi bado tunatumia Nokia tochi, na kuingia Jamii Forum ni mpaka twende Internet Cafe ..!! Kwa kweli nimemkumbuka sana Pasco ambaye ndiye mwalimu mwanzilishi wa hili darasa humu JF, ambaye ingawa yupo busy sana, lakini hakuwagawa wanafunzi kutokana na hali zao kiuchumi ...!!! Anyway, darasa now ni kwa ajili ya watumiaji wa ma-android na ma-window phone tu. Wengine tukatafute buyu tukune ...!!!!:A S-confused1:

Mkuu Kule Ni Beats Na Maswali Na Majibu Darasa Lipo Hapa Na Litaendelea Kuwepo Kule Watu Wanashare Beats Na Meditation Ya Beats Ikiisha Hiyo Ndio Mwisho Wa Group...

#Rakims
 
Kwa kuongezea Mimi nafahamu meditation za aina Tatu
Meditation ya pumzi(breath)
Meditation ya mantra
Meditation ya divine light and sound
Kwa wote mnaosoma hapa mnaweza kufanya breath but hizo zingine mpaka ueleweshwe vya kutosha jinsi ya kufanya
Breath inafanywa kwa kukaa chini iwe kitandani au chini kabisa
Chagua Mkao mmoja Hapo
ImageUploadedByJamiiForums1408799113.207198.jpg
Then weka mto Nyuma ya mgongo ukiegemea katika ukuta ili usichoke
Fumba macho
Anza kuingiza pumzi na kutoa taratibu
Fuatilia hiyo pumzi ikiingia weka pause au hold kabla ya kutoa then unatoa
Anza na dakika kumi
Hapo utakuwa umefanya breath meditation
Then utakachofeel njoo uandike hapa wote tusikie
Kumbuka akili yako yote kuielekeza katika pumzi wakati wa meditation
 
Hilo group la whatsup sijui lina nini, naona Rakims anatoa watu bila sababu
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuongezea Mimi nafahamu meditation za aina Tatu
Meditation ya pumzi(breath)
Meditation ya mantra
Meditation ya divine light and sound
Kwa wote mnaosoma hapa mnaweza kufanya breath but hizo zingine mpaka ueleweshwe vya kutosha jinsi ya kufanya
Breath inafanywa kwa kukaa chini iwe kitandani au chini kabisa
Chagua Mkao mmoja Hapo
View attachment 179621
Then weka mto Nyuma ya mgongo ukiegemea katika ukuta ili usichoke
Fumba macho
Anza kuingiza pumzi na kutoa taratibu
Fuatilia hiyo pumzi ikiingia weka pause au hold kabla ya kutoa then unatoa
Anza na dakika kumi
Hapo utakuwa umefanya breath meditation
Then utakachofeel njoo uandike hapa wote tusikie
Kumbuka akili yako yote kuielekeza katika pumzi wakati wa meditation

Nine ipenda hii
 
Back
Top Bottom