Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliweza kukumbuka toka nachukua begi nyumban mpaka nafika moro mjin nakata tikiti ya bas la Tanga napanda nafika mheza nashuka nachukua bodaboda
kilicho nistua nikwamba niliyaona ma2kio yote kama natazama sinema
Je nini hichi
na nitawezaje ongeza
Rankims naomba utatoa ufafanuzi hapa kwa faida ya woteView attachment 177306View attachment 177307View attachment 177308View attachment 177309
hufanywa na watu baadhi ambao hufungua chakra zote..... kwa mara 1 Rangi ya njano iliomzunguka huitwa aura.. kinachoongaa utosini ni crown chakra. usoni ni third eye chakra... shingoni ni throat chakra.. kifuani ni heart chakra.. chini ya kifua ni soral plexus... na nyekendu ni root chakra... orange ni chakra ya wengu yan splenic chakra..... hiyo kama miale imemzunguka inaitwa body charge ambayo ikiingia mwilini hucharge au kurutubisha chakra zote na mtu kuanza kuact abnormal..... mshana karibu kwa niongeza....
#rakims
na wale wanaoumwa vichwa waweza kujitibu hivi kaa au lala chali... fumba macho angalia na uhisi eneo linalouma imagine rangi nyekundu.. imagine imegeuka orange.. imagine imegeuka njano.. imagine imegeuka kijani imagine blue bahari.. imagine zambarau... imagine nyeupe ichague ipoze kichwa utahisi kichwa cha baridi fumbua macho taratibu. utajiuliza nilikuwa naumwa kichwa kweli?
#Rakims

Iko vizuri sana na iko kwa undani mno labda hiyohiyo niiweke kwa upande wa 8senses za mwanadamu/ chakra 1-8 ambapo wengi watu tunazifahamu 5 tuu> macho, ulimi, ngozi , masikio na ufahamu! Hizi tatu za mwisho hazijulikani na wengi sense ya sita saba na name
Katika mzunguko wote wa meditation connection kubwa na vital iko kwenye conscious na subconscious mind, interaction ya visible world na invisible world
Ngoja nitaeleza vizuri kuhusu sense ya sita mpaka ya nane kama nilivyoeleza kwenye uzi wa Pasco